MSTARI WA NYUMA
Member
- Feb 28, 2021
- 98
- 138
Basi kama chemo si lolote aachie ngazi.Ndugu vyeo ni vitamuUsijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Kuna kitu nilitaka kuandika, nimeamua kuacha. Baki na upumbavu wako.Usijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
Acha kukariri !Small minds discuss people, average minds discuss events and great minds discuss Ideas.
Naunga mkono kuboresha mifumo yetu, napinga Mama kung'atuka kabla ya kusimamia maboresho hayo Hadi yatakapokuwa yamesimama Barabara.''Mama fanya mabadiliko ya mfumo mzima, ruhusu katiba inayokubalika kisha 2025 ng'atuka tuachie Taifa lenye nidhamu na historia itakukumbuka wewe na familia yako. Hakuna kiongozi wa kitaifa amemwahi kukumbukwa kwakusimamia maslahi ya chama chake Bali anakumbukwa kwa kusimamia maslahi ya Taifa''............................................................. Kauli hii ya kutaka mtu kung'atuka imeharibu hoja zako zote na kuonekana kuwa lengo lako ni kutaka Mama atoke madarakani,kama atafanya yale ambayo watu wanayahitaji haitaji heshima ya kung'atuka,kung'atuka kunatokana na mtu kufanya mambo nje ya muda wake lakini alie ndani ya muda wake na anafanya kulingana na wajibu wake na kutimiza matakwa ya watu, anafaa kuendelea kudumu hadi mwisho kulingana na sheria inavyotaka, kung'atuka bila sababu ya msingi ni kujitengeneza mazingira ya kujionyesha kuwa haufai na umepisha wengine wakusaidie.
Du hapa sasa inabidi naye asaidiwe kam vipiBiteko mama amesema kitalu c mirerani ni reserved lakini sasa hivi kinagaiwa kinyemela na watu wanachimba, madini yanatoroshwa sana kama kipindi cha nyuma na huyo dogo muda mwingi yupo arusha.. alimwambia cdf adhibiti utoroshaji huu wa tanzanite (think as a great thinker)
Naweka NUKTAMleta uzi umewataja watu hatari kwa utawala wa mama kwa usahihi kabisa, japo umemsahau na Mwigulu. Huyo mama kama anataka kufanya kazi bila kuhujumiwa, awaweke mbali hao, vinginevyo watamkwamisha.
Naweka NUKTAMleta uzi umewataja watu hatari kwa utawala wa mama kwa usahihi kabisa, japo umemsahau na Mwigulu. Huyo mama kama anataka kufanya kazi bila kuhujumiwa, awaweke mbali hao, vinginevyo watamkwamisha.
Mkuu huyo namba 4 namtetea. Kenan Kihongosi aliwachapa wale watu baada ya kukutwa na "kizibiti" Cha wizi. Walikuwa na madawati tena wakiwa wameshayaharibu.Hio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa baadhi yao kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.
1) Kamanda Mambosasa - Kinondoni.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.
genge la wanaccm huyoMama yumo juma na anasoma sana mtaona ni swala la muda MAMA TUPE RAHA
Hao wote hawamuwezi kwa kuwa rais katiba inampa nguvu kubwa sana ya kushughulika na wakorofi na kuwa silence fasta.1. Mama aendelee kuondoa genge la ukabila.
2. Mama aachane na project za marehemu kutumia fedha za ndani.
3. Ile midege ya Jiwe aikodishe tu, kama tunaendlea kula hasara haina haja ya kupata faida, biashara ni kutengeneza fedha ili kuinua pato.
4. Mama aongee vizuri na upinzani, watu kama akina Lissu, Lema na Msigwa ni assets za Taifa.
5. Wekeza sekta ya kilimo, watanzania wakila vizuri tu tunaridhika. Wala hutosikia kelele mitandaoni wala mitaani, hii kete ndio aliyoiweza Hayati Mkapa, watu walikula na wakashiba, wakaridhika.
6. Wanafki kama akina Gwajima aka Rashid waogope sana, kama mtu ameweka kaz ya Mungu kuwa namba mbili kisha kaz ya mwanadamu namba moja elewa kuwa hata wewe ipo siku atakumaliza.
7. Fanya unavyoweza kufungulia ajira.
8. TRA isuke upya.
9. Nna mengi sana ila mazingira yamenibana
Kitu pekee ambacho kimeniuma mno ndani ya hii nchi ni kumuona maguful kazikwa kiheshima vile, kwa uchafu ulioachwa na maguful hata kaburi lake kubaki kuwa historia ndani ya taifa ni aibu.
Ila jamaa amem-"single out" Alfred James...,kwanini?Wizara ya Kilimo, Bodi zote za mazao na sera zake ziangaliwe upyaaa
Bora umemjibu. Mimi nahisi humu JF tuna watoto wadogo ama ni watu wazima wasiojua kufikiri. Mimi inapofika suala la Tanzania Chama Baadaye. Akina Kabudi wamesaidia sana tuwe na 16% Barick na pia kupata USD million 300. Na pia Kupata hisa Airtel ambako tulikuwa tumepigwa changa la Macho. Ana changamoto zake lakini si kwa kiasi hicho. Hashimu umemjibu vyemaUsijili
Acha kujilinganisha na prof kabudi wewe kilaza mkubwa kabisa elimu ya kuungaunga. Unadhani kabudi hata akiacha hiyo siasa atalala njaaa? vilaza mnashida sana
naunga mkono hoja.
Mama fanya mabadiliko ya mfumo mzima, ruhusu katiba inayokubalika kisha 2025 ng'atuka tuachie Taifa lenye nidhamu na historia itakukumbuka wewe na familia yako. Hakuna kiongozi wa kitaifa amemwahi kukumbukwa kwakusimamia maslahi ya chama chake Bali anakumbukwa kwa kusimamia maslahi ya Taifa.
Doto James ....ana kashfa nyingi mno plus mikono yenye damuHio yote ulioitaja ni "MISUKULE YA MAREHEMU", ila kuna misukule ipo ambayo haujaigusia kabisa, ya Mikoa na Wilaya. Licha ya Rais kuwakosoa baadhi yao kweli kweli hadharani ila hayapati akili na kuandika barua za kujiuzulu.
1) Kamanda Mambosasa - Dar Es Salaam.
2) Ally Hapi - Mkuu Wa Mkoa Iringa.
3) Ole Sabaaya - Mkuu Wa Wilaya Hai.
4) Kenani Kihongosi - Mkuu Wa Wilaya Arusha (Aliewachapa Wafanyabiashara viboko).
5) Heri James UVCCM TAIFA (Zamani kipindi akisoma alikua anaitwa Eric Ngambeki).
6) Alfred James - Kaimu Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho.
7) Doto Biteko - Waziri Wa Madini.