Ahadi Augustino Mlewa
Member
- Aug 17, 2016
- 29
- 48
Habari yakO Mfugaji na mdau.
Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na katika kuleta maendeleo ya chi lakini hasa kwa mtu Mmoja Mmoja na familia kiujumla.
Lakini hasa nitakuelekeza fursa kubwa sana zilizopo kwenye sekta hii ambazo matajiri Wengi hawataki kuwambia.
Pia kabla sijaendelea, elewa kuwa mimi sijasomea kuhusu kuku na walą sijaenda SUA kwenye mafunzo, isipokua UFUGAJI KUKU upo kwenye damu na nimeanza nao toka niko mdogo, baba Yangu na mama Yangu ndio waanzilishi wa hug mradi Mpakani unafika hapa ulipofika leo, mimi nimekulia kwenye mazingira ambayo nalisha kwanza kuku ndio naenda shule maana bahati nzuri shule ilikua karibu sana na nyumbani.
Hivyo kila nitakchokuelekeza hapa ni jambo ambalo mimi nimekua nikilifanya mpaka leo hii nina miada 29.
NAKARIBISHA MASWALI NA HOJA ILI NIZIJIBU.