Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

Ongera kwa kutoa elimu nzuri hivi kwa dar ni wapi naweza pata chanjo ya typhoid na mafua ambako sio wababaishaji
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Layers was hawana mambo Mengi.
Kwanza hakikisha wamepigwa Maleks kutoka shamba unapowanunua.
wakifika kwako, wape antibiotic Moja ya kukausha vitovu, kama walisafiri umbali wa zaidi ya 100km wape glucos and VV is true.
Pili hakikisha unawaandallia foto la angalau Siku 14 za mwanzo.
Kisha utafuata na zile Chanjo za wiki 4 kamą Newcastle,gombolo na malizia na dawa ya minyoo kila Mwezi wakishafikisha mie 2.

Wakifikisha miez 4, hakikisha unawaweka kwenye cages kusaidia ukusanyaji wa Mayai na kuzuia kuku kula Mayai yao wenyewe.

siwezi kuandika vyote hapa, karibu kwenye semina zeta tunafanya bure pale kimara, Temboni Dar es salaam.
Antibiotic ya kukausha kitovu! Hiz hua n blaah blaah. Kama hamjui kazi yA hizo dawa msiwe mnawadanganya watu.
Kifaranga asiekauka kitovu, akitoka kwenye mashine hachukui muda anakufa....sasa hio kariri yenu ya kila kifaranga n kuanza na midawa sijui mliijulia wapi.
 
Unazungumza mambo yakawaida sana, hata ambae si mfugaji anayajua haya. Labda sema tu watu waje kwenye semina uingize kipato.
 
Kuku wa Mayai kifaranga tunauza Tsh 1,700/=
Ila kabla haujamnunulia wala Kulipia Vifaranga, mlete kwanza kwenye semina apate shule Indio tumpe vifaranga.
Kama layers kifaranga mnauza 1700, basi wa nyama mtakua mnauza 1000/900.
 
Antibiotic ya kukausha kitovu! Hiz hua n blaah blaah. Kama hamjui kazi yA hizo dawa msiwe mnawadanganya watu.
Kifaranga asiekauka kitovu, akitoka kwenye mashine hachukui muda anakufa....sasa hio kariri yenu ya kila kifaranga n kuanza na midawa sijui mliijulia wapi.

Ndicho anachokifanya na ameandika kabisa yote anayoyaandika hapa ni kutokana na uzoefu alioupata kwenye ufugaji kuku.
 
Habari yakO Mfugaji na mdau.

Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na katika kuleta maendeleo ya chi lakini hasa kwa mtu Mmoja Mmoja na familia kiujumla.

Lakini hasa nitakuelekeza fursa kubwa sana zilizopo kwenye sekta hii ambazo matajiri Wengi hawataki kuwambia.

Pia kabla sijaendelea, elewa kuwa mimi sijasomea kuhusu kuku na walą sijaenda SUA kwenye mafunzo, isipokua UFUGAJI KUKU upo kwenye damu na nimeanza nao toka niko mdogo, baba Yangu na mama Yangu ndio waanzilishi wa hug mradi Mpakani unafika hapa ulipofika leo, mimi nimekulia kwenye mazingira ambayo nalisha kwanza kuku ndio naenda shule maana bahati nzuri shule ilikua karibu sana na nyumbani.

Hivyo kila nitakchokuelekeza hapa ni jambo ambalo mimi nimekua nikilifanya mpaka leo hii nina miada 29.

NAKARIBISHA MASWALI NA HOJA ILI NIZIJIBU.
Vizuri,wanaosema Chanzo bila kutaja dawa!Hayo mfano chanyo ya kideri dawa yake ni,,,,,,,,,,,,Dawa kuhara ni...nk,hebu Nipe A,B,C,mkuu tafadhali.
 
Habari yakO Mfugaji na mdau.

Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na katika kuleta maendeleo ya chi lakini hasa kwa mtu Mmoja Mmoja na familia kiujumla.

Lakini hasa nitakuelekeza fursa kubwa sana zilizopo kwenye sekta hii ambazo matajiri Wengi hawataki kuwambia.

Pia kabla sijaendelea, elewa kuwa mimi sijasomea kuhusu kuku na walą sijaenda SUA kwenye mafunzo, isipokua UFUGAJI KUKU upo kwenye damu na nimeanza nao toka niko mdogo, baba Yangu na mama Yangu ndio waanzilishi wa hug mradi Mpakani unafika hapa ulipofika leo, mimi nimekulia kwenye mazingira ambayo nalisha kwanza kuku ndio naenda shule maana bahati nzuri shule ilikua karibu sana na nyumbani.

Hivyo kila nitakchokuelekeza hapa ni jambo ambalo mimi nimekua nikilifanya mpaka leo hii nina miada 29.

NAKARIBISHA MASWALI NA

Kuku kusinyaa yaani hachangamki, nimewapa chanjo ya ndui mwezi mmoja nyuma, sd3 ya typhoid nimewapa lakini hawachangamki.

Pia ni chakula gani cha kuongeza uzito?. Ni kuku wa kienyeji
 
Vipi unatenganisha au kujua mayai ya kula na yale yaliorutubishwa na jogoo kwa ajili ya kupata vifaranga?
Na unatumia incubator ya aina gani na Nini changamoto zake?
Shukran
 
One day chick inategemea ni kuku gani, kuna aina nyingi za kuku na wote wana matunzo yao na chanjo zao tofauti tofauti, unaweza kufika kwenye semina zeta au ukanicheki kwa Namba 0713071701 whatsapp kwa Maelekezo specific.
Si umesema utatoa elimu hapa hapa Sasa hiyo semina na namba ya kazi gani tena mapema yote hii
 
Back
Top Bottom