Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

Nataka kununua mashine ya kutolesha vifaranga hasa vya kiswahili kwa lengo wa kuwafuga, hivyo naweza kupata elimu ya nini kinahitajika???.

Nimeamua kufanya hivyo kutokana na vijana wangu walipo shamba wananishangaza kila siku mara kuku kataga mayai 7 mara mwenyewe kayala so nikaona njia pekee ni kutotolesha vifaranga kwa njia nyingine harafu nivipeleke shamba

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Ushauri hata kama ni mini incubator tafuta zinazotoka ulaya za kichina utakutana matusi ya kila rangi
 
Naomba kupewa hesabu zakfuga kuku300 layers..
Je kati ya layers na bloiler yup mrahisi ufuga kibiashara?
 
Kuku mmoja wa layers kumfunga mpaka anataga gharama yake haipungui elfu 19 na haizidi elfu 21. Kwahio fanya gharama ya kuku mmoja ni elfu 20. Kwahio kuku 300 gharama ni kama mil 6 mpaka 7.

Mrahisi kufuga kibiashara ni broiler sema huwa wanachangamoto ya soko. Layers sio warahisi kama huna kipato Cha uhakika lkn mayai hayana changamoto ya soko.
 
Asabte sana
 
Kiongozi nimekuelewa,nitamleta Shemejio/wifio

USHAURI
Sio lazima uponde Wataalamu waliohitimu SUA ili kutangaza biashara/semina..wewe sema tu ulichonacho,tukikuelewa tutafika
 
Back
Top Bottom