Ahadi Augustino Mlewa
Member
- Aug 17, 2016
- 29
- 48
Karibu, Tuko Kimara Temboni, utajionea mkuu.Unaweza kunionesha mzigo wa kuku ulio nao nijipange kuja kuchukua walau kuku 200 kwq kuanzia
One day chick inategemea ni kuku gani, kuna aina nyingi za kuku na wote wana matunzo yao na chanjo zao tofauti tofauti, unaweza kufika kwenye semina zeta au ukanicheki kwa Namba 0713071701 whatsapp kwa Maelekezo specific.Nipe management of a one day chick
hahahah, eti niwakusanye, mimi niko hapa kushare elimu niliyonayo sipo hapa kumkusanya mtu.Haya mkuu tumekuja utukusanye ka maembe
LayersOne day chick inategemea ni kuku gani, kuna aina nyingi za kuku na wote wana matunzo yao na chanjo zao tofauti tofauti, unaweza kufika kwenye semina zeta au ukanicheki kwa Namba 0713071701 whatsapp kwa Maelekezo specific.
Mm sifugi nataka wa kienyeji kuuza mzee weka sample ya kuku walio tayari nifanye tathmin vizurKaribu, Tuko Kimara Temboni, utajionea mkuu.
Project ni kubwa na industry ina mambo Mengi sana unayoweza kufanya ukapata kipato.
OkMm sifugi nataka wa kienyeji kuuza mzee weka sample ya kuku walio tayari nifanye tathmin vizur
What is Poultry farming? Describe Management Approach of Chichen FluHabari yakO Mfugaji na mdau.
Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na katika kuleta maendeleo ya chi lakini hasa kwa mtu Mmoja Mmoja na familia kiujumla.
Lakini hasa nitakuelekeza fursa kubwa sana zilizopo kwenye sekta hii ambazo matajiri Wengi hawataki kuwambia.
Pia kabla sijaendelea, elewa kuwa mimi sijasomea kuhusu kuku na walą sijaenda SUA kwenye mafunzo, isipokua UFUGAJI KUKU upo kwenye damu na nimeanza nao toka niko mdogo, baba Yangu na mama Yangu ndio waanzilishi wa hug mradi Mpakani unafika hapa ulipofika leo, mimi nimekulia kwenye mazingira ambayo nalisha kwanza kuku ndio naenda shule maana bahati nzuri shule ilikua karibu sana na nyumbani.
Hivyo kila nitakchokuelekeza hapa ni jambo ambalo mimi nimekua nikilifanya mpaka leo hii nina miada 29.
NAKARIBISHA MASWALI NA HOJA ILI NIZIJIBU.
Layers was hawana mambo Mengi.Layers
Asante sana ndugu, nafurahi kujumuika humu ili tuendelee kupeana elimi zaidi na tufuge kwa tija.Mzee Shitindi karibu Sana.
Kwa sisi tunao-kufahamu hatuna Shaka na wewe .
Karibu Sana Mzee.
sawa mkuu karibu Saną
Hababababa utani mkuuhahahah, eti niwakusanye, mimi niko hapa kushare elimu niliyonayo sipo hapa kumkusanya mtu.