Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

Ongera kwa kutoa elimu nzuri hivi kwa dar ni wapi naweza pata chanjo ya typhoid na mafua ambako sio wababaishaji
 
Reactions: EEX
Antibiotic ya kukausha kitovu! Hiz hua n blaah blaah. Kama hamjui kazi yA hizo dawa msiwe mnawadanganya watu.
Kifaranga asiekauka kitovu, akitoka kwenye mashine hachukui muda anakufa....sasa hio kariri yenu ya kila kifaranga n kuanza na midawa sijui mliijulia wapi.
 
Reactions: EEX
Unazungumza mambo yakawaida sana, hata ambae si mfugaji anayajua haya. Labda sema tu watu waje kwenye semina uingize kipato.
 
Kuku wa Mayai kifaranga tunauza Tsh 1,700/=
Ila kabla haujamnunulia wala Kulipia Vifaranga, mlete kwanza kwenye semina apate shule Indio tumpe vifaranga.
Kama layers kifaranga mnauza 1700, basi wa nyama mtakua mnauza 1000/900.
 

Ndicho anachokifanya na ameandika kabisa yote anayoyaandika hapa ni kutokana na uzoefu alioupata kwenye ufugaji kuku.
 
Vizuri,wanaosema Chanzo bila kutaja dawa!Hayo mfano chanyo ya kideri dawa yake ni,,,,,,,,,,,,Dawa kuhara ni...nk,hebu Nipe A,B,C,mkuu tafadhali.
 

Kuku kusinyaa yaani hachangamki, nimewapa chanjo ya ndui mwezi mmoja nyuma, sd3 ya typhoid nimewapa lakini hawachangamki.

Pia ni chakula gani cha kuongeza uzito?. Ni kuku wa kienyeji
 
Vipi unatenganisha au kujua mayai ya kula na yale yaliorutubishwa na jogoo kwa ajili ya kupata vifaranga?
Na unatumia incubator ya aina gani na Nini changamoto zake?
Shukran
 
One day chick inategemea ni kuku gani, kuna aina nyingi za kuku na wote wana matunzo yao na chanjo zao tofauti tofauti, unaweza kufika kwenye semina zeta au ukanicheki kwa Namba 0713071701 whatsapp kwa Maelekezo specific.
Si umesema utatoa elimu hapa hapa Sasa hiyo semina na namba ya kazi gani tena mapema yote hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…