Ushauri hata kama ni mini incubator tafuta zinazotoka ulaya za kichina utakutana matusi ya kila rangiNataka kununua mashine ya kutolesha vifaranga hasa vya kiswahili kwa lengo wa kuwafuga, hivyo naweza kupata elimu ya nini kinahitajika???.
Nimeamua kufanya hivyo kutokana na vijana wangu walipo shamba wananishangaza kila siku mara kuku kataga mayai 7 mara mwenyewe kayala so nikaona njia pekee ni kutotolesha vifaranga kwa njia nyingine harafu nivipeleke shamba
NATANGULIZA SHUKRANI
Za kichina zinafanyaje mkuu na inayotoka ulaya nitaijuaje????Ushauri hata kama ni mini incubator tafuta zinazotoka ulaya za kichina utakutana matusi ya kila rangi
Zina changamoto hasa kuregulate temp na humidityZa kichina zinafanyaje mkuu na inayotoka ulaya nitaijuaje????
Mkuu hizo za ulaya zinapatikana wapi hapa Bongo bei zake na mawasiliano unayo?Ushauri hata kama ni mini incubator tafuta zinazotoka ulaya za kichina utakutana matusi ya kila rangi
Kama una ndugu muagize huko au amazonMkuu hizo za ulaya zinapatikana wapi hapa Bongo bei zake na mawasiliano unayo?
Kuki wa mayai au chotara unayetaka kumfuga kwa ajili ya mayai? Layers 1700?Kuku wa Mayai kifaranga tunauza Tsh 1,700/=
Ila kabla haujamnunulia wala Kulipia Vifaranga, mlete kwanza kwenye semina apate shule Indio tumpe vifaranga.
Kuku mmoja wa layers kumfunga mpaka anataga gharama yake haipungui elfu 19 na haizidi elfu 21. Kwahio fanya gharama ya kuku mmoja ni elfu 20. Kwahio kuku 300 gharama ni kama mil 6 mpaka 7.Naomba kupewa hesabu zakfuga kuku300 layers..
Je kati ya layers na bloiler yup mrahisi ufuga kibiashara?
Asabte sanaKuku mmoja wa layers kumfunga mpaka anataga gharama yake haipungui elfu 19 na haizidi elfu 21. Kwahio fanya gharama ya kuku mmoja ni elfu 20. Kwahio kuku 300 gharama ni kama mil 6 mpaka 7.
Mrahisi kufuga kibiashara ni broiler sema huwa wanachangamoto ya soko. Layers sio warahisi kama huna kipato Cha uhakika lkn mayai hayana changamoto ya soko.