πŸ” Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! πŸ“±πŸ’°

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
210
Reaction score
250
Habari ndugu mfugaji! πŸ‘‹
Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi πŸ’ͺπŸ“

Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii πŸ‘‡
πŸ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu :
Tumia dakika 2 tu kushiriki ,maoni yako ni muhimu sana kwetu
 
Jameni kuwen serious..
Kweli vocha ya mia tano
 
Kwenye Google form yenu ya kujaza details kwangu ina Goma Sehem ya kujaza Jina ina nikataza nisiandike namba Bila kuandika inanigomea
 
Pia kwenye ufugazi wa Kuku wa Mayai sijaona Kumzunguzia Budget ya Cage
 
Kwenye hiyo fomu, kipengele cha jina na namba ya simu isiwe lazima kuyajibu. Nilitaka nianze kuijaza lakini siko tayari kuyajibu hayo maswali mawili.
 
Kwenye hiyo fomu, kipengele cha jina na namba ya simu isiwe lazima kuyajibu. Nilitaka nianze kuijaza lakini siko tayari kuyajibu hayo maswali mawili.
Nimebadili tayari boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…