Brayan_Jk
JF-Expert Member
- Mar 28, 2025
- 210
- 250
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa!
Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ]
Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama, idadi ya kuku, chanjo, na chakula na bado walikuwa wakikumbwa na hasara zisizotarajiwa. Lakini sasa, mambo yamebadilika.
✅ Ratiba za Chanjo + SMS Reminders
Ukipitisha tarehe ya chanjo, unaweza kupoteza kuku kwa magonjwa. Fuga App inakusaidia kujiandaa mapema kwa kukuonyesha ratiba ya chanjo kulingana na aina ya kuku, na inakutumia SMS siku moja kabla na siku ya chanjo. Hakuna tena kusahau!
✅ Calculator ya Gharama za Kuanza
Unataka kuanza ufugaji lakini huna uhakika wa bajeti yako? Fuga App ina calculator itakayokusaidia kujua gharama zote za kuanzia mradi wako kulingana na ukubwa wa banda na idadi ya kuku.
✅ Ufuatiliaji wa Chakula cha Kuku (Feed Forecasting)
Fuga hukokotoa kwa akili ni siku ngapi chakula kilichopo kitapungua kulingana na idadi ya kuku na uzito wao—hii inakusaidia kupanga mapema na kuepuka njaa kwa kuku wako.
✅ Ufuatiliaji wa Gharama, Mauzo na Vifo
Unaweza kurekodi gharama zote, mauzo na vifo vya kuku ili upate picha halisi ya biashara yako kwa muda wowote. Hii inakuwezesha kufanya maamuzi ya busara na kuongeza faida.
📱 Fuga App imeundwa mahsusi kwa ajili ya wafugaji wa Tanzania na Afrika, ikizingatia changamoto zenu za kila siku. Iwe una kuku 100 au 5,000 Fuga inakusaidia kusimamia shamba lako kwa ufanisi na kuongeza tija.
Pakua app hapa au scan code hapa chini