Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

mkuu hii mifugo huwa inavutia sana i wish nimalize kwangu kujenga niwafuge tena aisee.
 
Kuna jamaa yangu mmoja ana wauza mbwa aina hii ambao anao mtu ambaye yuko interested tuwasiliane nikunganishe naye!

Ova
 
Mi nafunga mbwa wa kiswahili na wako vzr Sana,kiulinzi ata adabu pia.nawapa huduma zote stahiki ikiwa chakula,chanjo zote,na kuoga kira jpili.kiukweli ulinzi tosha..
mbwa wa kienyeji ukianza mafunzo ya nidhamu mapema pia wako vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…