Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

umenikumbusha jamaa yangu pale SINZA E alikuwa anajifanya (kalumanzira) mganga wa kienyeji. ana crown athlete nyeusi halafu eti ni mganga wa kienyeji. anawakula mademu hao (ma slay queen/ ma sistaduu) km masihara, tena mitaa yote.
 
Ile maana ya wajinga ndiyo wali wao!
 
Kila mtu anajua kwamba wanawake wengi wapumbavu wanaliwa na waganga wa kienyeji. Hao wanaoenda hata uwaambie nini watakwenda na wataliwa ila wanahama tu mganga mambo yao yasipofanikiwa. Ndo maana kiboko ya wamchawi hata leo akija watu watajaa tiu kumpa hela.
 
Mbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa

Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
Wee Jumamosi rais wako atakuwa kwa mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…