Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..

Ni maamdalizi ya kazi kubwa

‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.

Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37

📍Krym
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    12.8 KB · Views: 5
  • IMG_20240609_172723.jpg
    IMG_20240609_172723.jpg
    276.6 KB · Views: 8
Inaonyesha Russia kiuchumi bado yuko vizuri! Unawezaje kuajiri katika kampuni Mamluki kwa marupurupu makubwa kiasi hicho?
Anyway kwa hapa TZ vijana waliopitia mafunzo ya kijeshi na hawakupata ajira jeshini wachangamkie fursa hizo!
 
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..

Ni maamdalizi ya kazi kubwa

‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.

Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37

📍Krym
Uzi unafutwa
 
Inaonyesha Russia kiuchumi bado yuko vizuri! Unawezaje kuajiri katika kampuni Mamluki kwa marupurupu makubwa kiasi hicho?
Anyway kwa hapa TZ vijana waliopitia mafunzo ya kijeshi na hawakupata ajira jeshini wachangamkie fursa hizo!
Kila MTU Ni askari kwenye Vita Ila ukipelekwa Wagner mission your signatured to death...

Utatumika Kama mgambo na hauna ruhusa ya ku desserted from battle field..

Uzi hauna maisha marefu utafutwa muda si mrefu..
 
Back
Top Bottom