Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..

Ni maamdalizi ya kazi kubwa

‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.

Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37

📍Krym
Mshahara wanalipa kwa fedha mwingereza na sio ruble🥴
 
Inaonyesha Russia kiuchumi bado yuko vizuri! Unawezaje kuajiri katika kampuni Mamluki kwa marupurupu makubwa kiasi hicho?
Anyway kwa hapa TZ vijana waliopitia mafunzo ya kijeshi na hawakupata ajira jeshini wachangamkie fursa hizo!
Kama muasisi wa Wagner mwenyewe bwana Yevgeny Prigozhin aliuwawa. Sembuse mtu mweusi.

Yule Mchaga sijui anaitwa nani aliyefia kwenye mapigano walileta rambirambi na bima ya kifo? Yule Mzambia naye aliambulia nini.

Sifa kubwa ya Urusi na Warusi wenyewe ni kutofuata mikataba na makubaliano. Sasa kapigane uko uone kama hizo hela utapata zote.
 
Tarimo alikuwa ni mfungwa alifanya makosa kule.

Mamlaka ikatangaza kwa mfungwa yoyote ikawa anataka kununua uhuru wake ajiunge na Wagner na kama anataka kumalizia kifungo chake aendelee kubakia gerezani.

Tarimo aliamua mwenyewe wala hakushurtishwa. Alikubali ofa kwa namna hiyo stahiki nyengine zilikuwa hazimhusu.
 
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..

Ni maamdalizi ya kazi kubwa

‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.

Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37

📍Krym
Ndo kwa kwenda mtoa mada au bado unaendelea an kazi yako ya baba lishe 😂
 
Kama muasisi wa Wagner mwenyewe bwana Yevgeny Prigozhin aliuwawa. Sembuse mtu mweusi.

Yule Mchaga sijui anaitwa nani aliyefia kwenye mapigano walileta rambirambi na bima ya kifo? Yule Mzambia naye aliambulia nini.

Sifa kubwa ya Urusi na Warusi wenyewe ni kutofuata mikataba na makubaliano. Sasa kapigane uko uone kama hizo hela utapata zote.
Kuna wahindi walilaghaiwa kupewa kazi Russia, wakajikuta front line.
 
Back
Top Bottom