Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -🇷🇺

Tulkua kijiweni nmewaonesha vijana wenzangu mchongo jioni kila mtu kaenda kununua beseni wamesema watauza tu vifurushi hata kama ni wanaume
 
Kuna aliefanikiwa wakuu me bdo napiga inaongea kirusi na hawapokei
 
Battle of Bamkhut. Jamaa walikichafua pale mbaya sana. Unaambiwa ule mji ulikuwa huwezi tembea usikanyage ganda la risasi.

Mwandishi m1 w aljazeera nilimsikia akisema. Ukuwa bamkhut life expentation ni 6 hours. Nyumba zote zilikuwa zimewaka moto na popullation ya mji uliokuwa na wakazi 200000 waliukimbia na kubakia kama 300.

kIlichotokea pale bamkhut kinawafanya west wafikirie mara mbili kupeleja majeshi Ukraine...
 
Hivi wale wamama,ma sistaduu na mabrazameni waliokuwa wanasema watailinda Ukraine kwa nguvu yeyote ile kipindi cha mwanzo kbs vita ikiwa bado haijashamiri waliishiaga wapi
 
Unasema hivyo kwakuwa una uhakika wa kula na kunywa,kuna wakati unasema bora ufe ukipambana kuliko kufa kibudu.
Mercenaries = Askari Mamluki = askari Wauaji kwa kulipwa =Mwajiriwa kuua kwa malipo.
Ikumbukwe kwamba Hao 👆 👆 👆 wanafanya kazi ya kuua Binadamu wenzao kwa maelekezo ya Boss aliyewaajiri. Mercenaries wanawaua walengwa askari au raia au kuharibu miundombinu mahalia kadri watakavyoelekezwa na Mwajiri wao. Hawa wauaji hawana ugomvi(Bifu) na hawana Maslahi yoyote kwa matokeo ya uharibifu utakaojitokeza. Askari Mamluki Wao wanaangalia MALIPO/MSHAHARA na marupurupu mengine watakayopewa kwa kazi yao. Suala la ni kwa nini unaua haliwahusu.
Matokeo ya kazi hiyo:-
1. Mamluki akiwahiwa (e.g vitani)anaweza uawa au kujeruhiwa; mamluki akiugua huonekana kama Bidhaa inayo anza kuoza (ku-expire) na hathaminiwi sana.
2.Mamluki aghalabu mzoga wake (maiti)unaweza kutupwa tu porini kwani hana thamani akiwa amekufa (useless dead horse)
3.Usipopewa Haki zako kutoka kwa Boss wako, huna mahali pa kuzidai hizo haki (huna pa kushitaki).
Mwisho:
Ningewashauri vijana waTZ kwamba licha na pamoja kwamba kuna ahadi za malipo kedekede HIYO KAMWE sio kazi njema hata kidogo. Inakuwaje kijana unakubali kwenda kumuUa mtu ambaye hata haumjui na wala huna ugomvi naye na hata Ukoo wako, Jamii yako, Nchi yako au Taifa lako halina ugomvi naye? Ni kwa sababu tu eti utalipwa pesa ndefu ndo ukubali kwa hiari yako kufanya uovu wote huo????
Kama una uhakika wa Kula, Makazi ya kudumu (hilo kunywa ni luxury) ni mwanzo mzuri; ridhika navyo kuliko kujihatarisha na kujiingiza kazini kusikostahili- ni kazi OVU haina baraka hata siku moja.:KEKBye: Si ni bora ukaingia mashambani au kujianzishia shughuli Halali nyingine?
 
Inatamanisha ila moto kweri kweri unaweza kuzamia kuisaka ukarudishwa uko ndani ya boxi la mbao
Ukirudishwa bahati yako. Wengi hubakia humohumo kwenye mass graves au amepotea. (Lost in combat zone)
 
Hivi wale wamama,ma sistaduu na mabrazameni waliokuwa wanasema watailinda Ukraine kwa nguvu yeyote ile kipindi cha mwanzo kbs vita ikiwa bado haijashamiri waliishiaga wapi
Recruited, wengine walikufa baada ya kwenda front, wengine wako frontline,ukishawnds front si rahis ku broadcast
 
Ukirudishwa bahati yako. Wengi hubakia humohumo kwenye mass graves au amepotea. (Lost in combat zone)
Wanatafuta wa kuwaweka Frontline ndio maana wameweka mpunga mrefu, hawana wasiwasi wanajua hakuna watakaorudi kwenye kudai malipo
 
Back
Top Bottom