Wagner Group watangaza nafasi ya kazi -๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ

Vijana waliopitia jkt hii hapa fursa za ajira
Hayo mafunzo ya jkt hapa bongo unadhani yanasaidia huko..

Wale recruitment zao Wana angalia vigezo vyao ndio maana Kuna kipindi walichukua wafungwa Hadi waathirika wa HIV wakawapeleka mstar wa mbele vitani UKRAINE

So Wagner hawaangalii hayo mafunzo ya jkt Kama kigezo Chao Cha kua eligible Wagner group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ