Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Mshahara wanalipa kwa fedha mwingereza na sio ruble🥴Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..
Ni maamdalizi ya kazi kubwa
‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.
Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37
📍Krym
Kama muasisi wa Wagner mwenyewe bwana Yevgeny Prigozhin aliuwawa. Sembuse mtu mweusi.Inaonyesha Russia kiuchumi bado yuko vizuri! Unawezaje kuajiri katika kampuni Mamluki kwa marupurupu makubwa kiasi hicho?
Anyway kwa hapa TZ vijana waliopitia mafunzo ya kijeshi na hawakupata ajira jeshini wachangamkie fursa hizo!
Mimi ningekuwa Mrusi muda huu nipo kwenye operation yao dhidi ya Ukraine.Tz tumefikia Huku daa
Tarimo alikuwa ni mfungwa alifanya makosa kule.Kama muasisi wa Wagner mwenyewe bwana Yevgeny Prigozhin aliuwawa. Sembuse mtu mweusi.
Yule Mchaga sijui anaitwa nani aliyefia kwenye mapigano walileta rambirambi na bima ya kifo? Yule Mzambia naye aliambulia nini.
Sifa kubwa ya Urusi na Warusi wenyewe ni kutofuata mikataba na makubaliano. Sasa kapigane uko uone kama hizo hela utapata zote.
Changamkia fursaDuh logo yao ya kikatili sana
Hamna kustaafu kazi kaziHakuna kurudi usipofia unapopelekwa, unapelekwa kwingine mpaka ufe tu
Euro n ulaya iliyokubaliana kuitumia kama means of exchange (pound) ndio mwingreza.Mshahara wanalipa kwa fedha mwingereza na sio ruble🥴
Mkuu maisha haya hakuna anayejali kuhusu wewe. Tupige simu twende tukajiunge. Bora kufa kwenye kutafuta kuliko hivi watoto wadogo watatujambisha.Swali,
Ukishajiunga huko sheria za nchi zinasemaje?
Ndo kwa kwenda mtoa mada au bado unaendelea an kazi yako ya baba lishe 😂Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima ya afya, malipo ya ulemavu kifo au majeruhi..
Ni maamdalizi ya kazi kubwa
‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.
Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37
📍Krym
Kuna wahindi walilaghaiwa kupewa kazi Russia, wakajikuta front line.Kama muasisi wa Wagner mwenyewe bwana Yevgeny Prigozhin aliuwawa. Sembuse mtu mweusi.
Yule Mchaga sijui anaitwa nani aliyefia kwenye mapigano walileta rambirambi na bima ya kifo? Yule Mzambia naye aliambulia nini.
Sifa kubwa ya Urusi na Warusi wenyewe ni kutofuata mikataba na makubaliano. Sasa kapigane uko uone kama hizo hela utapata zote.
Ndio unapigishwa depoMafunzo wanatoa??
Nipo Kubinka Air Field GeoHack - Kubinka (air base)Ndo kwa kwenda mtoa mada au bado unaendelea an kazi yako ya baba lishe 😂
Yaani wanaume wakiwa wanajadili mada lazima shoga afanye chochote ajulikane na yupo hili apate bwanaWale jamaa zetu ndio muda wa kwenda kuruka na wale mabikra 72, changamkieni fursa.
Vigezo?wachangamkie fursa