Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

Duniani wapumbavu wapi wengi sana!
Eti anasema wanainchi hawataki maendeleo vitu,huu ni uzwazwa,ni uzandiki.
Kujenga hospitali,miundo mbinu,kuboresha miundo mbinu ya shule,elimu bila malipo kwa wanafunzi,kuboresha usafiri wa makini kwenye maziwa ili kurahisha usafiri pamoja mizigo kwa wananchi,miladi mikubwa ya kimkakati kama bwawa la nyerere lenye kuzalisha megawatt 2100 n.k halafu chizi kama ww linalopoka ovyoovyo tu.
Unahisi haya yote hayana faida kwa jamii?
Ndgu usifuate mkumbo,fikiria kabla ya kunena...Kuna mengi Sana yaliyofanyika ili kumurahisishia mwananchi.
 
Hivi kujipanga kuchukua madaraka ni dhana gani hii?
Ukweli siielewi. Je ni kuiba kura, kupindua serikali, au ni kufanyaje? Labda ninyi wenye dhana hii mtueleze. Uchaguzi ni sanduku la kura basi. Kujipanga ni nini hasa?
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Magufuli amefanya nini ? na kama hayo usemayo ni kweli angeunda Tume ya uchaguzi yenye makada wa ccm ili kuogopa nini , mbona ameanza kuwapigia magoti wapiga kura ?

Uchunguzi unaonyesha kwamba wajinga wengi wanapenda kujitambulisha kwamba hawana chama , je wewe ni miongoni mwa hawa ?
 
Hapana kaka,mimi naongea Ukweli tu ukipita mtaani ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura

Huyu Baba amewatendea Watanzania mambo mazuri

Mbona unanitukana lkn
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Maneno yako tu yanathibitisha wew zombie la Lumumba hata usemeje
 
Kazi yako kubadilisha ID na kutunga uongo kama mgombea wenu anavyotoa uongo mara kwa mara , fanya kazi kijana kazi ya kushinda mitandaoni itakulaza njaa.
 
Sikuhiz kila mmoja anapambana kivyake.
 
Chandimu kwa kujifariji hamjambo! Mwaka huu mnaenda kupigwa kwenye sanduku la kura haijawahi kutokea! Yaani mtapata aibu ya miongo kumi!
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Ni asiye na uelewa wa mambo ataamini maneno yako kwamba huna chama.
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Magufuli mwenyewe hana uhakika wa kushinda anahaha na NEC na kupiga magoti majukwaani.
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana
Ha ha ha.. ww utakuwa hamnazo. Kama ccm inapendwa kwa nn kinara wao anabembeleza hadi kupiga magoti hadharani? Kwa nn anasaidiwa na jk, majaliwa, pinda, nk? Kwa nn wanapanga mikakati ya wizi wa kura?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…