jabata kitwala
Member
- Jul 13, 2019
- 34
- 24
Duniani wapumbavu wapi wengi sana!Kama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakodisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.
Ukweli uko wazi maendeleo ni ya watu siyo ya vitu. CCM imechokwa na hata yenyewe imejichokea kwa sasa ni nguvu ya Dola na Tume ya Uchaguzi ndiyo tegemeo lao kuu.
Eti anasema wanainchi hawataki maendeleo vitu,huu ni uzwazwa,ni uzandiki.
Kujenga hospitali,miundo mbinu,kuboresha miundo mbinu ya shule,elimu bila malipo kwa wanafunzi,kuboresha usafiri wa makini kwenye maziwa ili kurahisha usafiri pamoja mizigo kwa wananchi,miladi mikubwa ya kimkakati kama bwawa la nyerere lenye kuzalisha megawatt 2100 n.k halafu chizi kama ww linalopoka ovyoovyo tu.
Unahisi haya yote hayana faida kwa jamii?
Ndgu usifuate mkumbo,fikiria kabla ya kunena...Kuna mengi Sana yaliyofanyika ili kumurahisishia mwananchi.