Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna uchaguzi Watanzania tumekuwa wajinga jinga sana hivi mtu na aliki yako uanasema kuna uchaguzi wakati wagombea 96% wame enguliwa? . Upinzania wanatumia huu muda kwa kampeni zao za kukuza chama sio huu uchaguzi huo ndiyo ukweli. Tanzania ni nchi ambayo iko nyuma sana kisiasa na kimaendeleo maana wasomi wetu bado wanafikiria ujinga ujinga na sio maendeleo. Wenzetu wanaunda mifumo imara ya katiba sisi ni kulumbana na ku fake mpaka chaguzi!