LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kua madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Hakuna uchaguzi Watanzania tumekuwa wajinga jinga sana hivi mtu na aliki yako uanasema kuna uchaguzi wakati wagombea 96% wame enguliwa? . Upinzania wanatumia huu muda kwa kampeni zao za kukuza chama sio huu uchaguzi huo ndiyo ukweli. Tanzania ni nchi ambayo iko nyuma sana kisiasa na kimaendeleo maana wasomi wetu bado wanafikiria ujinga ujinga na sio maendeleo. Wenzetu wanaunda mifumo imara ya katiba sisi ni kulumbana na ku fake mpaka chaguzi!
 
nani atakuchagua na huwezi hata kujaza fomu kwa usahihi gentleman? 🤣

kwani asie na sifa na vigezo vya kisheria na kikatiba akienguliwa, ulitegemea aseme kuna uchaguzi Tanzania? ama unajisahaulisha maneno ya mkosaji?🤣

Eti wanakuza chama chao, chama gani hicho unaona aibu hata kuwa muwazi?🤣

Alie nyuma kimaendeleo ni wewe kwasabb ya uvivu wako.

Eti wenzenu wanaunda mifumo ya kikatiba 🤣

si muunde mifumo yenu ya kikatiba kwenye vyama vyenu mfuu.
CCM ina agenda ya maendeleo, na hicho ndicho kipaumbele chake inatekeleza sasa hivi
 
Relax bas gentleman na upunguze mihemko na makasiriko kwenye mambo ya msingi na ya kweli kabisaa kuhusu wagombea wasomi wa CCM.

Ni muhimu kufahamu kwamba CCM ina hazina kubwa mno ya watu wasomi wa kada mbalimbali, na wote wana sifa za kushika nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wenyeviti wa mitaa na vijiji, udiwani, ubunge n.k..

katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa, CCM imeamua kuwapa fursa vijanaa kwa zaidi ya 90% wagombea uongozi wa serikali za mitaa, ikiwa ni maandalizi ya kuwajengea uwezo na kuawandaa kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na hata Rais anaeijua ground vizuri.

Hata hivyo,
Lile jukumu muhimu ambalo niko nalo la kuwatumikia wanainchi, kwangu mimi naona itakua ni tamaa ya madaraka, kuwaacha wananchi na kutegemea uteuzi.

viongozi waandamizi wa chama na serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu makini na kipenzi cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan tunafanya kazi kwa pamoja kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,

vinginevyo unaleta porojo na story za pata potea tu gentleman 🐒
Tulia dawa ukiingie nimesoma na wewe nakufahamu!!Una uwezo mdogo sana na ulihisi kwenda CCM utatoboa.
Wewe ni CHAWA ni Malaya wa kisiasa.
Huna uwezo wa kutumia akili yako na Elimu yako unaweza maisha.

Mtaji wa CCM ni vilaza kama wewe
 
tuliza mihemko bas gentleman, naona unafanya mazoezi ya kuyaporomosha 🤣

kwahiyo mpiga ramli umesoma na mbobevu katika masuala ya kisiasa na diplomasia?🤣

kwahiyo mganga wako ndivyo alivyokua anakuonyesha kwenye kioo cha ramli kwamba upo darasani na mimi, dah 🤣

kwahiyo hapo ulivyo andika ndiyo umetumia kiwango cha cha juu sana cha akili gentleman, right?🤣
 
nani atakuchagua na huwezi hata kujaza fomu kwa usahihi gentleman? 🤣

kwani asie na sifa na vigezo vya kisheria na kikatiba akienguliwa, ulitegemea aseme kuna uchaguzi Tanzania? ama unajisahaulisha maneno ya mkosaji?🤣

Eti wanakuza chama chao, chama gani hicho unaona aibu hata kuwa muwazi?🤣

Alie nyuma kimaendeleo ni wewe kwasabb ya uvivu wako.

Eti wenzenu wanaunda mifumo ya kikatiba 🤣

si muunde mifumo yenu ya kikatiba kwenye vyama vyenu mfuu.
CCM ina agenda ya maendeleo, na hicho ndicho kipaumbele chake inatekeleza sasa hivi na sio huo ushirikina unaosema 🐒

Kwa hiyo 96% ya wagombea walikuwa hawajui kujaza form. Kama wewe unaamini kila kitu kipo powa endelea. Lakini hata viongozi wa dini wameshaongea kuhusu uchaguzi hakuna la kuongeza. Wabishie hao sisi hatuna muda hapa wa kudanganyana ndugu yangu nenda kwenye mitandao mingine
 
viongozi wa dini si wanafanyaga uchaguzi wao?

na maaskofu wengine kwa mfano yule wa Karagwe bagonza analiaga faulo kwenye uchaguzi wa mkuu wa kanisa lao, si wamalize kwanza matatizo yao huko ndiyo wawe na uhalali wa kusema wengine gentleman?

Mitandao yote nipo gentleman na wala sibabaiki kwenye kusema ukweli 🐒
 
tatizo hausemi ukweli!!!
 
Wasomi kama wabunge wao Joseph Msukuma kasheku na na Babu Tale wnye PhD hahahaha 😆 😂 🤣 😅
 
tuliza mihemko bas gentleman, naona unafanya mazoezi ya kuyaporomosha 🤣

kwahiyo mpiga ramli umesoma na mbobevu katika masuala ya kisiasa na diplomasia?🤣

kwahiyo mganga wako ndivyo alivyokua anakuonyesha kwenye kioo cha ramli kwamba upo darasani na mimi, dah 🤣

kwahiyo hapo ulivyo andika ndiyo umetumia kiwango cha cha juu sana cha akili gentleman, right?🤣
Very stupid hiyo BA in political science ni ubobevu gani ??Ati Diplomasia wadanganye wasio kujua kenge wewe.

Au niweke hapa majina yako na matokeo yako
 
Hii Wala hata haishangazi siku hizi wasomi wanaangalia namna Gani ya kuikimbia njaa kwa urahisi na wamegundua kuingia kwenye siasa ni daraja jepesi zaidi na chama Cha kuwapa maisha ni ccm
 
sasa gentleman 🤣
unataka kutaja taja majina kwa mistari isiyo na vina? hiyo ni useless na completely nonsense. zingatia content hizi za maana. hili ndiyo la muhimu zaidi.

Infact,
wagombea uongozi wote vijana wasomi wa CCM wameandaliwa na wako tayari kuwatumikia wanainchi katika maeneo yoa na kuwaletea maendeleo.

mihemko ni ni mafarakano ya mapepo katika fikra baada ya kuendekeza ushirikina.

relax na ujifunze mambo ya kitaalamu ili uongeze ufahamu, maarifa na uelewa wa juu zaidi, katika mambo haya ya siasa 🐒
 
Hii Wala hata haishangazi siku hizi wasomi wanaangalia namna Gani ya kuikimbia njaa kwa urahisi na wamegundua kuingia kwenye siasa ni daraja jepesi zaidi na chama Cha kuwapa maisha ni ccm
Gentleman,
for your information na help ni kwamba wanasiasa wote unaowaona majukwani ni wakulima, wafugaji, wavivu, wasafirishaji, wawekezaji ama wafanyabiashara. Hiyo njaa unayo wewe tu muungwa, acha uvivu na ushirikina.

Zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe 🐒
 
Ni wasomi kweli au chawa wa kawaida wanaosifia muungu wao wa kikeee?
njoo kwenye kampeni ushudie ukweli huo gentleman,

mambo haya yapo hadharini na sio mafichoni kama wengine, ambao hata kuwataja wagombea uongozi wao na chama chao wanaona aibu 🐒
 
Wasomi kama wabunge wao Joseph Msukuma kasheku na na Babu Tale wnye PhD hahahaha 😆 😂 🤣 😅
Gentleman,
msukuma is a Doctor with PhD, huwezi mlinganisha na mbowe au sugu in academic status.

na by the way,
vijanaa wasomi wa CCM kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa ndiyo madiwani na wabunge wa siku zijazo 🐒
 
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.

Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa na usio na mawaa, mpaka hata kwenye ule wa udiwani, ubunge na urais 2025 ndivyo itakavyokua.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Una hakika? Chama cha wazee inakuwaje kiwe na wagombea wote vojana
 
Back
Top Bottom