LGE2024 Wagombea wasio na kazi wanaenguliwa! Huu ni ujinga. Wapiga kura wasio na ajira wasishiriki, huu ni werevu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
 
Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
 
Watupe mkopo vyuo vikuuu wasipotupa hatuwapigii kura
Baba na Mama yako viwete walemavu?
Wewe ni mlemavu wa Viungo?
Baba na Mama yako walishakufa?
Upo kwenye mfuko wa TASAF?

Km huna hivyo vigezo sahau kuhusu Mkopo hawakupi wana hao watu wao waliowalenga
 
Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
Kwanini vyama havitoagi semina kwa wagombea wao au mimi ndio sielewi?
 
Chadema hawakulijua hili au ujinga wao tu

USSR
Wewe unalijua, hao Chadema wametengenezwa na kiwanda gani! Kanuni hazifai kutengenezwa na kutafsiriwa kwa kuangalia vyama.
 
Baba na Mama yako viwete walemavu?
Wewe ni mlemavu wa Viungo?
Baba na Mama yako walishakufa?
Upo kwenye mfuko wa TASAF?

Km huna hivyo vigezo sahau kuhusu Mkopo hawakupi wana hao watu wao waliowalenga
Wewe baba yako kiwete?
 
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
Vyama vya upinzani, vinapoteza muda mwingi kufikiria maandamo, kumbe CCM wanafikiria mbinu za kushinda uchaguzi kwa kubadili ama kukarabati kanuni za uchaguzi
Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    420.8 KB · Views: 3
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 5
  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • 5808629-57f86e47f2e7305376bcccf74fb56df4.mp4
    2.1 MB
  • 5808626-bde51487c15170759ed7838e0c83538c.mp4
    339 KB
Kama huna muda wa kupoteza usihangaike na siasa za Afrika...
 
Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.
Kazi maalum nchi hii ni ipi ATI

Mchengerwa anapampana kumrescuenmkwe

Mi nadhani wakati umefika ccm waache mabo yaende kiuhalisia

Figisu figisu na ujanja ujanja una mwisho mbaya ati
 
Kituko Cha Karne hiki kwahiyo wazee wa ndala mbili tofauti Wana ajira gani😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom