Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.Kanuni inasemaje?
Aisee. Na hiyo kazi maalumu imefafanuliwa ni kazi ya namna gani?Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.
Baba na Mama yako viwete walemavu?Watupe mkopo vyuo vikuuu wasipotupa hatuwapigii kura
Kwanini vyama havitoagi semina kwa wagombea wao au mimi ndio sielewi?Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
Wewe unalijua, hao Chadema wametengenezwa na kiwanda gani! Kanuni hazifai kutengenezwa na kutafsiriwa kwa kuangalia vyama.Chadema hawakulijua hili au ujinga wao tu
USSR
Vyama vya upinzani, vinapoteza muda mwingi kufikiria maandamo, kumbe CCM wanafikiria mbinu za kushinda uchaguzi kwa kubadili ama kukarabati kanuni za uchaguziKwanini vyama havitoagi semina kwa wagombea wao au mimi ndio sielewi?
Wewe baba yako kiwete?Baba na Mama yako viwete walemavu?
Wewe ni mlemavu wa Viungo?
Baba na Mama yako walishakufa?
Upo kwenye mfuko wa TASAF?
Km huna hivyo vigezo sahau kuhusu Mkopo hawakupi wana hao watu wao waliowalenga
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
Vyama vya upinzani, vinapoteza muda mwingi kufikiria maandamo, kumbe CCM wanafikiria mbinu za kushinda uchaguzi kwa kubadili ama kukarabati kanuni za uchaguzi
Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
Kwa sheria ipi?Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.
Kazi maalum nchi hii ni ipi ATIKama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.