Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Yaaa ndivyo ripoti inavyosema sikumzika mpendwa wangu zaidi ya kukabidhiwa kaburi tu! Idadi ya waliozikwa usiku ule juzi ni 11 wengine wapendwa wetu walikufa kwa njaa kiu maana amana hawapewi huduma yeyote madaktari wamejawa hofu hawatoi huduma yeyote ni wamawafungia wanaenda kuokota tu maiti za ndugu zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama hawa wagonjwa wamefanya kwa dhamira bali ni frustration. Kama hawapati matibabu yoyote, wanaona wenzao mmoja baada ya mwingine wanakufa, maiti za waliokufa hazichukukiwi, akili haziwezi kuwa sawa. Hawezi kuelewa kwa nini yupo hapo. Je, yupo hospitali au mahabusu au waiting room for death?In this era kweli tumekosa video ya tukio? Anyway probably watu wanazo ila wanaogopa kuzionyesha.
Hawa wagonjwa na sisi wengine lazima tujue huu ugonjwa umetukuta ghafla tukiwa hatuna mipango na nchi wahisani wakiwa hawana ABC juu ya wapi waanze na wapi wamalizie. Hata hao wahisani na wenyewe wako bize kudeal na huo ugonjwa.
So kuvumiliana na kufikia muafaka ilitakiwa iwe suluhisho la hapa na siyo kutoroka halafu other niggas wanapongeza.
Lakini ajue kuwa Chato siyo ahera. Sala tunazozifanya zinaweza kugeuka na kuwa laana yetu!Bahati mbaya ni sisi watu wa kawaida huku mtaani ndio tutaopata tabu. Yeye na familia yake wamejichimbia chato wanakula maisha
Taarifa nyingi zinaanza kama umbea baadae zinathibitishwa au kukanushwa na mtoa post kaulizia mwenye uhakika hajasema ni asilimia mia mojaUkiambiwa huu ni umbea utakana?
Pengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usarama ikulu ya chato