Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Yaaa ndivyo ripoti inavyosema sikumzika mpendwa wangu zaidi ya kukabidhiwa kaburi tu! Idadi ya waliozikwa usiku ule juzi ni 11 wengine wapendwa wetu walikufa kwa njaa kiu maana amana hawapewi huduma yeyote madaktari wamejawa hofu hawatoi huduma yeyote ni wamawafungia wanaenda kuokota tu maiti za ndugu zetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao matajiri wenyewe awachukui kila mgonjwa wa Corona wanachukua wale wenye shida ya kupumua tu kwa sababu hawana resources za kuangaika na kila mgonjwa wengine wajitibu wenyewe majumbani sembuse sisi maskini.

Kibaya zaidi hakuna elimu ya kukabiliana na hili janga majumbani yaani kama naona vile watu wanavyoambukizana ndani ya nyumba na wala hakuna elimu ya kujitibu kisayansi majumbani.

Anyway it’s not hard to predict what happens in Tanzania haya yote wengine tushasema yanakuja; subirini sasa hivi mtasikia paracetamol zimeisha hata sijui itakuwaje kwa wale wanaojiuguza majumbani.
 
Labda wameona huduma haziwaridhishi na wakijitibia nyumbani wanaweza kupona....hata hivyo mgonjwa anawezaje kuvunja geti? Hao sidhani kama ni wagonjwa...watakua wamepona lakini bado wanaendelea kushikiliwa na kuhesabiwa kama wagonjwa.
 
In this era kweli tumekosa video ya tukio? Anyway probably watu wanazo ila wanaogopa kuzionyesha.

Hawa wagonjwa na sisi wengine lazima tujue huu ugonjwa umetukuta ghafla tukiwa hatuna mipango na nchi wahisani wakiwa hawana ABC juu ya wapi waanze na wapi wamalizie. Hata hao wahisani na wenyewe wako bize kudeal na huo ugonjwa.

So kuvumiliana na kufikia muafaka ilitakiwa iwe suluhisho la hapa na siyo kutoroka halafu other niggas wanapongeza.
Sidhani kama hawa wagonjwa wamefanya kwa dhamira bali ni frustration. Kama hawapati matibabu yoyote, wanaona wenzao mmoja baada ya mwingine wanakufa, maiti za waliokufa hazichukukiwi, akili haziwezi kuwa sawa. Hawezi kuelewa kwa nini yupo hapo. Je, yupo hospitali au mahabusu au waiting room for death?

Madaktari na manesi, tunaambiwa kuwa nao wamejifungia vyumbani mwao. Wodini wahudumu wanaingia kwaajili ya kuondoa miili ya waliokufa. Kwwnye mazingira hayo, unadhani hawa wagonjwa watakuwa na hali gani? Na pengine mtu huyu amepelekwa hapo huku akiwa ana nguvu na anajiweza. Kama mazingira yenyewe ni hayo, si afadhali huyu mtu angekuwa ametengewa mahali na wanafamilia ambao wanaweza kumhudumia kwa njia hizo za ramli kama za kufukiza kwa mvuke?

Hii hali kwa vyovyote itawafanya watu kutokwenda hospitali. Wengi wataona aheri wafie majumbani mwao kuliko kwenye kuwekwa mahabusu ya Amana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lidasi,
Mababu zetu walishafanya haya siku nyingi Kabla ya wataalam wa Hospitali tena wengine waliviringishwa halafu wakafukizwa na mvuke mkali sana, ni moja kati ya Tiba ya siku nyingi sana.
 
Tuliambiwa ni wagonjwa miambili na ushee waliotapakaa Nchi nzima sasa hawa wanozikwa na hawa maiti zilizojaa pasmoto na hawa wanovunja mageti ni nani

SISI KAMA WATANZANIA TUNA HAKI YA KUAMBIWA UKWELI
 
Kuna hii video kwenye Youtube inayoeleza kuhusu wagonjwa wa Corona wanaoikimbia hospitali, yaani mtu ambaye anaumwa corona kabisa anavunja dirisha na kuchomoka nduki kisa hawahudumiwi, huko nje ameenda kwa nani, wala sio kama Kenya ambapo walevi waliokutwa wanakunywa pombe mida ya curfew wakatiwa karantini....hii hatari sana.

 
Sasa Wauguzi hawana Personal Protective Equipment, watawahudumia vipi ? Serikali yenyewe hata panadol hakuna. Hata mimi ningetoroka..Kuliko kufa unajiona.
 
Pengine wamehamasika na hotuba ya mtukufu rais akiwahutubia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usarama ikulu ya chato

Ya kwamba wanaenda kujifukiza?!! Hah nacheka utadhani mazuri...dah Mungu atusaidie kwa kweli
 
Back
Top Bottom