DOKEZO Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimesoma comments inaonesha wazi kuna jambo halipo sawa kwenye sekta ya afya hasa hizi ngazi za chini.
 
Hakuna hospitali inayoweza kufanya hivyo

Hakuna hospitali inayoweza kufanya hivyo
Ngazi ya hospital angalau lakini zipo hospital zinafanya hiyo,, ila hali ya namna hii pia ipo ngazi za chini, mimi nimeshuhudua na kupata case za namna hiyo mara kadhaa ,kuna sehemu asilimia 90 ya wanaoenda anawaambia wana malaria parasite 1,2 au 3,anaandikia mpaka sindano, lakini hakuna mabadiriko
 
Vidonda vya tumbo matibabu yake ni aghari ila 100k parefu sana kwa mara moja
 
Aisee
 
Ila sidhani kama kuna ubaya hapo kwenye kumpa Amoxyclav maana hiyo ni broad spectrum antibiotic itakuuwa wote gram +Ve na gram -Ve
 
Zahanati moja iko Temeke kata ya Sandali karibu na soko la Maguruwe inaitwa Nyamongo. Ni vituko, kila mgonjwa lazima aambiwe ana malaria kali na kupumzishwa.
Zahanati za binafsi nyingi hasa Dar es salaam zinafanya biashara ya utapeli
 
Kweli kabisa.

Mfano kama morphine sidhani kama ma C.O wanaruhusiwa kutoa.
 
Tatizo nililogundua kwako unaleta ujuaji sana.

Muda mwingine daktari anaweza akajua unachoumwa kupitia history taking tu kadri unavyojieleza .
Sasa ili kujiridhisha ndipo anakwambia uende lab athibitishe .

Kuna baadhi ya magonjwa dalili zake ni unique hivyo ukimwambia daktari moja kwa moja atajua tatizo lako.
 
Afrika ni uwanja wa mambo ya hovyo
 
Ila sidhani kama kuna ubaya hapo kwenye kumpa Amoxyclav maana hiyo ni broad spectrum antibiotic itakuuwa wote gram +Ve na gram -Ve
Hakuna Ubaya lakini si unajua Amoxyclav iko limited kwa baadhi ya magonjwa ya Mfumo wa Mkojo japo ni nzuri sana kwa mfumo wa Magonjwa ya Mfumo wa hewa..

Il lengo ni kumaximise profit mkuu..
Mteja angweza kupewa Amxy ya Tsh 2500 mpaka 3000..
Ila unaamua kumpa amoxyclav Ya 20k mpka 25k..
Lengo ni Biashara na sio Cost effectvness
 
umefanya research au ndo akili zile zile "Miwani inaua macho "
 
penda kuuliza kwa daktari na si mapokezi , hili ni ttzo lenu watz , daktari anakupa maelekezo huyaelewi unakaa kimya unaenda kuwahoji watu wa mapokezi ambao hata sio watu wa kada ya afya WATAKUJIBU NINI SASA ? tuache NIDHAMU YA UOGA
 
kuna kitu hamjaelezana vzr , hv unajuwa dalili moja inaeza beba magonjwa hata 5 je daktari atajuaje kama ni ugonjwa x km atafanya kipimo cha damu tu ? muda mwingine umaskini wetu ndo unatufanya tulalamike ila ni vzr kuchek through out mf huyo anasema aliambiwa ana MARALIA inaeza kuwa kwel alikuwa na MARALIA na URIC ACID NYINGI pind anapima lkn alipopewa dawa MARALIA ikapona ila ishu ya URIC ACID haikupona sabab haikugundulika sabab alifanya kipimo kimoja tu , TUSIPENDE KULALAMIKA SANA , MUDA MWINGINE TUJIFUNZE KUTUMIA AKILI ZETU , UKITUMIA DAWA BILA KUWA NA SHIDA HUSIKA BAS KUNA SIDE EFFECTS UTAZIPATA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…