georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Hata selikalini watu hawaachii ngaziUkisikia elimu yetu ni ya mchongo ndio hii sasa
Wahadhiri a.k.a PhD holders wanashindwa ku practice wanachofibdisha ili kupata maendeleo binafsi wanang'ag'ania kufundisha mpaka kifo
Kujiajiri kugumu boss. Ukiona wanavyohaha kuomba kuongezewa muda utafikiri huku uraiani ni jehanamuKwa nini wasijiajiri baada ya kustaafu ?
Na ndiyo maana nikashauri kama ni kuongeza muda wa kustaafuu waongezewe watumishi woteHata selikalini watu hawaachii ngazi
Magu aliwaongezea hadi 65, lakini bado wanaona hiyo haitoshi.Waongezewe mpaka 65 tu.
Walifelisha sana wanafunzi wa kuziba nafasi zao, wamejikuta Wana upungufu wa wahadhiri.
65 na kuendelea waanzishe research institutions, wapige consultants. Mwisho, wawe wanajiandaa kimaisha, unakaaje ofisini mpaka unatembela fimbo.
Hao wa aina hiyo ndiyo wako wengi na ndiyo wanaoshinikiza waongezewe muda.Mtaani kugumu wanaogopa kuja kunywa sungura?
hahaha kuna mmoja alistaafu pale UDOM hata nyumba hana akaishia kukaa hotelini huku anajenga mpunga ukakata akahamia guest za 50, 30, 20, 10,,,, mpaka akashindwa kulipa akapewa kauchochoro alale hapo
ALIJIFIA NI KINGEREZA CHAKE
Kwa hiyo serikali iwaongeze muda wa kustaafu ili kuwanusuru? Kama ni haki kwa nini iwe kwa wahadhiri tu?Njaa tu, wahadhiri wachache wanashindwa kujipanga kimaisha hivyo wanaishia kufukuzia part time baada ya kustaaf.