Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaàaaahKama wanaotoa elimu wanaogopa kujiajiri, wale wanaotamba kuwa elimu ni kitu cha maana ni kina nani? Huwa naogopa hata kusema nilifika chuo kikuu nikiona waalimu wangu wanaonyesha huu udhaifu.
Wanasema kwenye Miti hakuna wajenzi. Labda wanaogopa wakijiajiri hadhi yao itashukaKama wanaotoa elimu wanaogopa kujiajiri, wale wanaotamba kuwa elimu ni kitu cha maana ni kina nani? Huwa naogopa hata kusema nilifika chuo kikuu nikiona waalimu wangu wanaonyesha huu udhaifu.
Waongezewe angalau wafike miaka 65, miaka 60 ni chini sana kwa Tanzania ya sasa. Nasikia majaji ni miaka 65 kwanini isiwe kwa waalimu wa vyuo vikuu na.....Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao?
Ni yapi madhara ya kuwaongezea umri wa kustaafu na upatikanaji wa ajira za kada hiyo katika vyuo vya Serikali?
Je, mhadhiri wa chuo ufanisi wake kikazi hauna kikomo?
Kuna madhara gani ya kuwaongezea muda wa kustaafu na kuwaacha kada nyingine wakistaafu at 60?
Ni wale pesa walitumia kweny starehe na uzinifu.Mtaani kugumu wanaogopa kuja kunywa sungura?
hahaha kuna mmoja alistaafu pale UDOM hata nyumba hana akaishia kukaa hotelini huku anajenga mpunga ukakata akahamia guest za 50, 30, 20, 10,,,, mpaka akashindwa kulipa akapewa kauchochoro alale hapo
ALIJIFIA NI KINGEREZA CHAKE
Hawa watu wajinga ambao hawawezi kujishughulisha wanataka wafie kwenye system, wasomi wamejaa huku kitaa anataka aongewe badala ya kupunga 55Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao?
Ni yapi madhara ya kuwaongezea umri wa kustaafu na upatikanaji wa ajira za kada hiyo katika vyuo vya Serikali?
Je, mhadhiri wa chuo ufanisi wake kikazi hauna kikomo?
Kuna madhara gani ya kuwaongezea muda wa kustaafu na kuwaacha kada nyingine wakistaafu at 60?
Hapo unakuta ana miaka 60 lakini ana mtoto wa miaka 2 au 5Ni wale pesa walitumia kweny starehe na uzinifu.
Life expectancy ya mtanzania ni 60 kwann kustaafu iwe 70,🤣🤣🤣Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao?
Ni yapi madhara ya kuwaongezea umri wa kustaafu na upatikanaji wa ajira za kada hiyo katika vyuo vya Serikali?
Je, mhadhiri wa chuo ufanisi wake kikazi hauna kikomo?
Kuna madhara gani ya kuwaongezea muda wa kustaafu na kuwaacha kada nyingine wakistaafu at 60?
😂😂😂😂Hao wazee wakipata zile trips za kwenda nje wanajisahau sana katika umri wa ujana ,wanajiona pesa ipo mda wowote inasoma kweny account hamna noma ila mwisho wa siku ni balaa.Hapo unakuta ana miaka 60 lakini ana mtoto wa miaka 2 au 5
Wawapishe na WENGINE wakipewa 70 Bado Wataomba Wapewe 100Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao?
Ni yapi madhara ya kuwaongezea umri wa kustaafu na upatikanaji wa ajira za kada hiyo katika vyuo vya Serikali?
Je, mhadhiri wa chuo ufanisi wake kikazi hauna kikomo?
Kuna madhara gani ya kuwaongezea muda wa kustaafu na kuwaacha kada nyingine wakistaafu at 60?
Kikawaida ujuzi huwa hauzeeki ila kinacho pungua ni efficiency, hivyo kama ulikuwa unatumie Dakika 50 kusahihisha mitihani ya wanafunzi 50 kuba wakati utafika utayumia Dakika 100 na zaidi kusahihisha hio mitihani.
Ujue Unapo ajiliwa huwa Mwajili ana nunua muda wako, na si vinginevyo, wala sio ujuzi wako hapana bali ni muda, Sasa kuna wakati unafika Muda wako unakiwa ni hasara kwa mwajili wako, ila still bado una ujuzi make ujuzi hauzeeki. Kinacho zeeka ni muda.
ni uoga wa maisha tu. mtu ameishi kwa kutegemea mshahara hata asipotimiza wajibu wake, akiwaza kuingia mtaani kuanza maisha mapya anachanganyikiwaNimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao?
Ni yapi madhara ya kuwaongezea umri wa kustaafu na upatikanaji wa ajira za kada hiyo katika vyuo vya Serikali?
Je, mhadhiri wa chuo ufanisi wake kikazi hauna kikomo?
Kuna madhara gani ya kuwaongezea muda wa kustaafu na kuwaacha kada nyingine wakistaafu at 60?
NAKAZIA HAPA.Upunguzwe na sio kuomgezeka 50 mwisho, tuongeze rotation walau ajira ziongezeke, walipe pesa za kustafu wakiwa na nguvu wakajiajiri waajiri na wengine