Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

Kama wanaotoa elimu wanaogopa kujiajiri, wale wanaotamba kuwa elimu ni kitu cha maana ni kina nani? Huwa naogopa hata kusema nilifika chuo kikuu nikiona waalimu wangu wanaonyesha huu udhaifu.
 
Kama wanaotoa elimu wanaogopa kujiajiri, wale wanaotamba kuwa elimu ni kitu cha maana ni kina nani? Huwa naogopa hata kusema nilifika chuo kikuu nikiona waalimu wangu wanaonyesha huu udhaifu.
HaΓ aaah
 
Kama wanaotoa elimu wanaogopa kujiajiri, wale wanaotamba kuwa elimu ni kitu cha maana ni kina nani? Huwa naogopa hata kusema nilifika chuo kikuu nikiona waalimu wangu wanaonyesha huu udhaifu.
Wanasema kwenye Miti hakuna wajenzi. Labda wanaogopa wakijiajiri hadhi yao itashuka
 
Huku wengine wanataka waingie,wengine wanatafuta njia ili wabaki ili wengine wasiingie...
 
Waongezewe angalau wafike miaka 65, miaka 60 ni chini sana kwa Tanzania ya sasa. Nasikia majaji ni miaka 65 kwanini isiwe kwa waalimu wa vyuo vikuu na.....
 
Ni wale pesa walitumia kweny starehe na uzinifu.
 
Miaka yao ya kustaafu ni 65.

wapumzike wahadhiri vijana washike hizo nafasi zenye posho na marupurupu.
 
Hawa watu wajinga ambao hawawezi kujishughulisha wanataka wafie kwenye system, wasomi wamejaa huku kitaa anataka aongewe badala ya kupunga 55
 
Life expectancy ya mtanzania ni 60 kwann kustaafu iwe 70,🀣🀣🀣
Madhara makubwa ni wanakua wamechoka sana
 
Wawapishe na WENGINE wakipewa 70 Bado Wataomba Wapewe 100
 
Watakuja wengi kujitetea maana akili za utu zinawajia wakiwa 60 yrs wakianza kutepeta, wenye elimu wamejaa sana, ni upuuzi tu kuwafanya viwete wasioweza kazi zingine, watoke wakaishi taaluma zao kwa vitendo huko nje.

Watu muhimu ni hao medical doctors hao wengine wakafanye kazi zingine.
 
Nikangalia experience ya walimu Wazee waliokuwa FoE, hakuna haja ya kuwapa muda, wengi wao wanakuwa hawafundishi vitu vipya, wanafudisha vitu vya 70's. Hata hawahudhurii classes, hata kusahihisha mitihani ni shida.
Reference ni Walimu wazee wa FoE up to year 2000 (Nisingependa kuwataja)
 
ni uoga wa maisha tu. mtu ameishi kwa kutegemea mshahara hata asipotimiza wajibu wake, akiwaza kuingia mtaani kuanza maisha mapya anachanganyikiwa
 
Kwanza hii idea ni nzuri Kwa serikali maana wengi wanakufa kabla ya huo muda, ni ujinga kukubali wazo hilo, hawa watu wanatakiwa wakajenge bond na wajukuu na watoto zao, as most of them wanashinda ofisini na safarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…