PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this

Vita za udini huanza hivi hivi! Uchochezi wa kidini utazaa chuki za kidini, chuki za kidini zikikomaa tutachinjana kama kuku.
Truth be told, October 29, haikuchochewa kidini, hamasa kubwa ilitoka kwa Mange ambaye ni Muislam. Sidhani kama muislam anaweza ongoza uhalifu dhidi ya waislam.
 
Hawa dawa yao ni kutokuwajibu. Na mkiweza msipost mambo yao haya. Wanaona hizi press za namna hii zinaibua mijadala ndo maana wanaanza kutoa vitu kama hivi. Mkiendekeza mtajikuta mmehama kabisa kwenye reli. Wapuuzeni kabisa.
 
Kuna bus la Abood lililochomwa? Au anabwabwaja tu na shahawa znavuja nyuma
 
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this

Hii logic ya wapi hii? Mbona Esther coach ilichomwa, na ofisi za CCM, polisi kwani kuna msikiti au kanisa lilichomwa?
Yaani watu wako tayari itokee vita ya kidini ila kulinda tu madaraka?
 
Back
Top Bottom