Skyworth
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 480
- 275
Wala sio kweli yaliyoko nyuma ya pazia yote tunayajuaWaislamu ndo wanatumika kuleta maswala ya udini.
Sisi wananchi walaaa, sisi shida yetu ni ccm

Nakuelewa sana, ila tu nikuhakikishie kuna rundo kubwa sana la waislamu wenye akili kama za hao mashekh,wanawaunga mkono na wako tayari kufanya lolote watakaloambiwa na hao mashekh hapo.Wananchi sisi hatuna shida maana sisi hatujaanzisha hiyo vita ya kidini ni sisi kuwakataa hao waliotumwa kuongelea udini
Hawa ni washenzi wa Samia anaowatuma kujaribu kupandikiza mbegu ya udini. Wasira alichomewa nyumba yake naye ni muislam? Billnas nae ni muislam? Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vyake vina uislam??Mali zipi za waislamu zilizoharibiwa?
HawatawezaWaislamu ndo wanatumika kuleta maswala ya udini.
Sisi wananchi walaaa, sisi shida yetu ni ccm
Hawa watu ni takataka! Wamesahau mpaka Masheikh wao wa uamsho walitetewa na Lissu ambaye ni Mkatoliki! Kwa muda wote hawakuwahi kupigania maslahi ya nchi! Isipokuwa yale ya ccm tu na watawala wake.Taasisi ambayo hata Waislamu wakionewa na serikali haina uwezo wa kuwatetea achilia mbali kuwasemea. Na bado wanawaaminisha watu wapo kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Mafala sana hawa jamaa.
Hakuna vita yoyote ya kidini boss, kuna waisilamu kadhaa wamekubali kutumika kwa ujira mdogo kutaka kuficha tatizo la msingi. Uzuri Gen z hawana muda na mitazamo ya kidini.Kuna elekea vita ya udini iko jirani
Ngoja serikali iendelee kuwachekea hawa masheikh darasa la pili B watakipata wanacho kitafuta maana inaonekana kuna vita ina paliliwa na serikali inachekelea ikiamini inasaidiwa kusafishwaWahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this