PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).

Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.

Nitarudi na ushahidi kuonesha kuwa TEC hata wakati wa viongozi wa Kikatoliki walikuwa wakitoa matamko kulaani mabaya yanayoendelea nchini.

Your browser is not able to display this video.
 
Naona hapa tunaenda kuhama kutoka kwenye matukio muhime na agenda za kitaifa kuhamia kwenye Udini, kila mtu atasupport dini yake nomatter its right or wrong.....tatixo ni wakatoliki wanao jifanya kuongoza madamano ya wanaishi TEC kaeni pembeni watu wafanye revolution bila udini.
 
 
Hawa watakuwa bakwata bila shaka, inamaana hawawezi hata ku research kdg kujiridhisha kama ni kweli mathalani wakati wa utawala wa jpm kama TEC walikuwa hawatoi matamko kupinga mambo mbalimbali yakiwamo mauaji kule kibiti?!.

Hawa wana wanaaibisha uislam!.
Unatokaje public tena mkiwa kundi la watu na tuhuma bila kuwa na facts na data kusapoti madai tenu??.

Kwa mwenye akili timamu anawadharau kwa kuwaona ni wajinga!
 
Njaa mbaya kweli! Halafu kutosoma na kuelewa: TEC walitoa matamko na waraka wakati wote, hata Askofu Niwemugizi akatishiwa na marehemu Magufululi! Ninawashangaa hawa waislamu ambao hawana hata kumbukumbu ya miaka minne iliyopita! Tanzania imeshuhudia mauaji ya halaiki.. Lazima tutawawajibisha wote waliohusika.
 
Wakatoliki kuisema serikali ni haki yao au kuitumia serikali kwa maslahi yao ni sawa
Waislam au Bakwata kuisema serikali au kuitumia serikali kwa maslahi yao ni sawa

Ila si sawa kwa TEC kuingilia mslaihi ya Bakwata au waislam kwa serikali
Vile vile si sawa kwa Bakwata kuingilia Maslahi ya TEC kwa serikali

Ila kama hakuna uvunjifu wa sheria
 
Hawa jamaa wanatuaibisha sana waislamu. Hao TEC hata wakati wa Magufuli ni mwenzao kabisa ila walimkosoa kila mara hata kuna uzi humu wa waraka wa TEC wakati wa marehemu Magufuli.

Jamaa wanatuaibisha sana basi tu.
Si wanajitoa tu ufahamu, sasa hivi CCM wako tayari kukuza mgogoro wa kidini as far as watabaki madarakani. Naona kuua imeshakua sawa
 
Hao wakatoliki kupitia TEC wamehamasisha vipi maandamano? Unaweza kunipa uthibitisho wowote ule?
 
Hao wakatoliki kupitia TEC wamehamasisha vipi maandamano? Unaweza kunipa uthibitisho wowote ule?
Wapi nimesema kwamba ndo wamehamasisha,.....nimeseme wanajifanya kuongoza wakati sio!!! Elewa mkuu.
 
Maslahi ya BAKWATA kwa serikali ni yapi kiasi cha kuwaona wenzao wanaokemea mauaji ya vijana wakristo kwa waislamu kwa wapagani ni wabaya?
 
Naona mpaka mic ya ITV...TEC au KkKT wakitoa tamko unaona mic ya jambo tv....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…