Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Wanaotaka Kutugawa Kidini wamtafute kazi nyingineWamefeli big time tumeoleana na kuzaliana kati ya Islam na Christian.
Waje na spana nyingine icho kichaka hakina maajabu.
Tunataka
Katiba
Tume huru ya uchaguzi
Kuachia wafungwa wote wa kisiasa
Samia atuachie nchi hii ngoma ngumu kwake.
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na ushahidi kuonesha kuwa TEC hata wakati wa viongozi wa Kikatoliki walikuwa wakitoa matamko kulaani mabaya yanayoendelea nchini.
Kuna mpango michafu unasukwa hapa!Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na ushahidi kuonesha kuwa TEC hata wakati wa viongozi wa Kikatoliki walikuwa wakitoa matamko kulaani mabaya yanayoendelea nchini.
Rais, wakuu wa hii serikali japo ni dhalimu, viongozi wote wanatakiwa kuwa wa kwanza kukemea vitendo kauli kama hizi za uchochezi na polisi kuwaita watoe ushahidi zaidi na kupewa onto.Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na ushahidi kuonesha kuwa TEC hata wakati wa viongozi wa Kikatoliki walikuwa wakitoa matamko kulaani mabaya yanayoendelea nchini.
Ni wakati wa Magufuli rais wa TEC wa wakati huo Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo la Ngara (kama sijakosea) alitengenezewa mpaka zengwe la kuambiwa siyo raia wa Tanzania! Na hati yake ya kusafiria ilishikiliwa na uhamiaji.Hawa jamaa wanatuaibisha sana waislamu. Hao TEC hata wakati wa Magufuli ni mwenzao kabisa ila walimkosoa kila mara hata kuna uzi humu wa waraka wa TEC wakati wa marehemu Magufuli.
Jamaa wanatuaibisha sana basi tu.
Mnazingua sana kuwahusisha TEC na madudu ya serikali! Serikali ndiyo inayoteka, kufunga na kuua wakosoaji wake! Serikali ndiyo inayofanya matendo ya ufisadi na dhuluma! Sasa TEC inapokosoa, nyinyi mnaleta nongwa, kisa Rais ni Muislam mwenzenu!Naona hapa tunaenda kuhama kutoka kwenye matukio muhime na agenda za kitaifa kuhamia kwenye Udini, kila mtu atasupport dini yake nomatter its right or wrong.....tatixo ni wakatoliki wanao jifanya kuongoza madamano ya wanaishi TEC kaeni pembeni watu wafanye revolution bila udini.
Sisiem wanachokifanya kwa kujihalalishia kuendelea kutawala tanganyika kitawatafuna siku za some. Waziri wa Mambo ya Nje wa Dubai, UAE 2017 aliwaambia nchi za Magh'aribi kuwa NYINYI MNAJIFANYA MNAUJUA UISLAM KUPITA SISI WA NCHI ZA KIARABU? mnawakaribisha Maislamists ambao sisi tumewapiga marufuku!? Basi mjue iko siku inakuja Magaidi wa Itikadi Kali ya Uislamu ngome zao zitakuwa nchini mwenu. Msichojua ni kuwa Uislamu Umeingiliwa na Maislamists wanaofadhiliwa na Muslim Brotherhood.Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).