Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

Wewe uliyeandika hii habari una shida, labda nikuulize, kwani wamekuwa wanaandika nini? Na nani anasoma hayo makaratasi ambayo thaman yake kwa sasa ni vifungashio vya vitumbua?
 
Mkuu chuma cha mjerumani,Magazeti hayaja pitwa na wakati sema "citizen journalism";imekuwa changamoto kwenye tasnia ya habari for both Electronic media na print media.

Vyombo vyote vya habari vinahofia kuandika Hard news hivyo kupenda soft news (yellow stories) ambazo ni normal ndio maana watu wengi wamepotesa interest kufuatilia habari.

Siku hizi kupata investigative stories imekuwa ngumu sana Tanzania pia sheria zetu za vyombo vya habari sio rafiki kabisa.
 
La Badari limeisha ndugu zangu.

Rais alijipa muda wa kutosha kupokea maoni na kayapokea kweli kweli maoni yetu kwa hisia na style tofauti

sasa hivi tumpe muda wa kuyachakata na hatimae kufanya maamuzi kwa maslahi ya Nchi yetu
Mtu anayekusudia mazuri hawezi kusema nimeamua kukaa kimya, na Mswada vp?
 
Huyo mtu mfupi petroli magoloti nilisoma nae chuo. Toka siku mingi tulishamhisi ni kipenyo huyo.
Huyu namfananisha na mhusika mmoja kwenye vitabu vya Jamaes Hadley Chase akiitwa Vitto Ferrari. Alikuwa mfupi sana na kazi yake ilikuwa ni kuua tu ukimpa kazi ya kuua mtu anakuuliza jee unataka ionekane ni murder,suicide au accident hajawahi kukosea.
 
Watazima mitandao tena ili tusione

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Na humu jf watu wamebaki kukashifiana tu na kuleta mambo ya udini udini !!
Vita vya panzi furaha ya Kunguru !!
Bongo kweli ni Bongo lala !!
 
Hivi mnahabari Kuna vijiji Bado wanajua Nyerere ni raisi?Nimefanya uchunguzi na ni rasmi ccm kutoka madarakani mtasubiri mno,Redio ya Taifa ndio inayoskizwa mno bush,hizi redio nyingine ni zenu mjini.Watu kama hawa utawashawishi Kwa njia gani kuwa mwarabu hatakiwi apewe bandari?
 
Hata na wa mjini Da Mange anawajua vizuri sana wabongo !! 😅🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…