Lugoda lwa chuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 202
- 379
shukran mkuu! Ila nataman kujua what so special about him hadi kukamatia kitengo hicho nyeti?Huyo ndio mshauri wa rais kwenye masuala ya siasa na chama,ukisika mkeka umetoka huyo ndio approval,ndio link ya wanaccm na serikali. Ukiachana na hoja za poison master[emoji28]