Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

Tutakutana nao kwenye nyumba za ibada. Kama wana ubavu wakafunge na nyumba za ibada.
 
Hii nchi ukiongea ukweli jiandae kufa au kung'olewa meno 😭
 
What is wrong is wrong, PERIOD!
 
CCM inaamini watu wote ni wajinga
 
Hii nchi ya ajabu sana

Wametisha waandishi halafu wakamuomba sheikh alhad aiongelee na kaongea pumba na mashudu

Yani hii nchi hii Sasha mama abdul imemshinda kabisa yani hata kuchagua watu sahihi wa kumtetea kashindwa anatetewa na watu wa hovyo tu
 


Tuko nyakati za technology and social media, maelfu na mamilioni ya watanzania wanamiliki japo akaunti moja ya mtandao wa kijamii, huku kati yao ni asilimia kidogo sana ambayo bado inategemea main stream media as main source of info.


Au ndio harakati za mtanzania katika kutafuta mbuzi wa kafara?!
 


Kauli hizi ndio zimewaumba na kuwajenga hao viongozi mnaowashutumu.


Mtu mzima hatishiwi nyau.
 
La Badari limeisha ndugu zangu.

Rais alijipa muda wa kutosha kupokea maoni na kayapokea kweli kweli maoni yetu kwa hisia na style tofauti

sasa hivi tumpe muda wa kuyachakata na hatimae kufanya maamuzi kwa maslahi ya Nchi yetu

Kinachonishangaza, hii kauli ina ugumu kiasi gani cha kushindwa kutolewa na Madam President mwenyewe?

Kauli za “nilinyama na ninaendelea kunyamaza,” hazina sauti wala mamlaka ya Urais.

Leo hii Rais anao uwezo wa kusimama na kusema “Imetosha!” Na wote tukasikia.

Kwa Nukta!
 
Hata zisipoandikwa zimeshaandikwa kwenye Kili na vichwa mwa Watanzania wote.
 
Alisema hakuna mtu mwenye misuli na ubavu wa kuvuruga mipango ya Nchi. Na alisema akiwa na Tone ya Hasira kweli kweli.

Kwamba mpango wa DP world uko pale pale.

Ngoja tuone.

Labda Mungu wa Israeli ,Isaka na Yakobo awe ni Mwongo.

Kwa maombi tunayosali kila siku DPW haifiki popote kwa msaada wa Mwenyezi Mungu.
Mungu hatakubali machozi yetu wananchi tupate aibu.

Tutaendelea kupiga magoti tusali. Sisi hatuna nguvu tunamtegemea Mungu.

Sifa na Utukufu viwe kwa Bwana, YHWH
 
Radio ya taifa ndio inayowatangazia hao wa vijijini kwamba Nyerere bado ni rais? Hakuna kijiji chochote Tz hii ambacho utandawazi haujafika jambo kwa kiwango cha chini, ila bahati mbaya yenu matokeo ya vitu vyenu vyote huwa mnayo mfukoni bt mnatafuta visababu tu vya kuyahalalisha hata km ukweli unajulikana. You can fool some people for sometimes but this will eventually come to an end.
 

Nilisikia ile hotuba, yale majibu kwa Mzee Shoo, ‘kaka yake’.

Kwa haraka utasema Rais amejibu Kibabe sana na ndio inavyotakiwa lakini ukipata nafasi ya kulionja na kulitafuna kwa ubongo neno baada ya neno katika hotuba ile, mwangwi wa mamlaka utauona kwa macho ya nyama.

Waandika ule waraka wa TEC wanajua aina ya reaction waliokua wanaitaka toka kwake.

What if the strategy was to provoke such a reaction halafu waachie ‘watazamaji’ wa kitaifa na kimataifa waamue nini kiendelee?

Binafsi ni muumini wa Falsafa ya Hoja hujibiwa kwa hoja na sio vioja au vitisho.

Sasa kauli yake haieleweki imesimama wapi kiasi kwamba Chawa wote wamejipa kazi ya kumsaidia Madam President kujibu waraka huku wengine wakianza mpaka kuchambana!

It’s total chaos that would have been avoided kama Rais angeamua.

Au pengine kiti chake na wadau wa kiti chake wameona opportunity ya ku play within the chaos na kuibukia upande wa kumalizia?

Inachanganya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…