Wahaya wana Akili sana kiukweli

Ulisikia wapi!!!!! 😳🤔Tupe maendeleo ya Mkoa wa Kagera , halafu linganisha na mikoa mingine hapa Tanzania.......👆
 
Umasikini watu wa mkoa wa Kagera kutia ndani Wahaya ni ndio umefanya Kagera kuwa miongoni mwa mikoa masikini

Huwezi kutengelanisha umasikini wa Kagera na Wahaya
Ila , Elimu ni kama kichocheo tu cha kuwa tajiri ila sio chanzo cha kuwa tajiri . Ardhini ndo kuna vyanzo vya kupata utajiri . Ardhi ya Kagera inategemea kilimo . Lakini Kuna mikoa mingine imebarikiwa Madini ardhini . Mkoa kama Geita unachangia asilimia kubwa kwenye pato la Taifa ila wananchi wa mkoa huo ni maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…