Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Ulisikia wapi!!!!! 😳🤔Tupe maendeleo ya Mkoa wa Kagera , halafu linganisha na mikoa mingine hapa Tanzania.......👆
 
Umasikini watu wa mkoa wa Kagera kutia ndani Wahaya ni ndio umefanya Kagera kuwa miongoni mwa mikoa masikini

Huwezi kutengelanisha umasikini wa Kagera na Wahaya
Ila , Elimu ni kama kichocheo tu cha kuwa tajiri ila sio chanzo cha kuwa tajiri . Ardhini ndo kuna vyanzo vya kupata utajiri . Ardhi ya Kagera inategemea kilimo . Lakini Kuna mikoa mingine imebarikiwa Madini ardhini . Mkoa kama Geita unachangia asilimia kubwa kwenye pato la Taifa ila wananchi wa mkoa huo ni maskini.
 
Back
Top Bottom