Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wana akili gani? Ingekuwa wana akili bukoba ingekuwa jiji kubwa sana lenye kuvutia kanda ya ziwa na mwanza ingeonekana halmashauri ya mji. Mnawakuza sana
 
Wanatokea wilaya gani?
Wilaya ya Bukoba mjini na Bukoba vijijini . Halafu sera mbovu za Ccm ndo zinasababisha umaskini wa mkoa wa Kagera na mikoa mingine . Ila Kwa mtu mmoja mmoja wahaya wako vizuri kimaisha , hata huko Bukoba vijijini watu wanaishi kwenye nyumba bora tofauti na vijiji vya mikoa mingine .
 
Haya uliyoyaandika yanaonyesha ulivyo na akili ndogo.
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point

Wana akili gani? Ingekuwa wana akili bukoba ingekuwa jiji kubwa sana lenye kuvutia kanda ya ziwa na mwanza ingeonekana halmashauri ya mji. Mnawakuza sana
Kwa hiyo wagogo na wazaramo ndo Wana akili sio?
 
Wilaya ya Bukoba mjini na Bukoba vijijini . Halafu sera mbovu za Ccm ndo zinasababisha umaskini wa mkoa wa Kagera na mikoa mingine . Ila Kwa mtu mmoja mmoja wahaya wako vizuri kimaisha , hata huko Bukoba vijijini watu wanaishi kwenye nyumba bora tofauti na vijiji vya mikoa mingine .
Mikoa 3 masikini zaidi nchini kwa kipimo cha pato la mtu mmoja income per capita ni Kagera, Kigoma na Singida
 
Kwa hiyo wagogo na wazaramo ndo Wana akili sio?
kwa kuwa wanaitwa nshomile ndio wana akili sana? Sema wale waliwapokea wakoloni mapema kuliko wengine. Bahati nzuri wakoloni wazungu wakajenga shule maeneo yao wakawasomesha na wakaipenda elimu. Kule kwingine waliathiriwa na dini ile wakaja kushituka kuwa walipotea ni too late ndio sasa nao wameamka kielimu japo wanaigaiga kujenga shule
 
Mikoa 3 masikini zaidi nchini kwa kipimo cha pato la mtu mmoja income per capita ni Kagera, Kigoma na Singida
Mkoa wa Kagera kuwa maskini haimaanishi wahaya ni maskini . Mkoa wa Kagera una wilaya nyingi na wahaya wanachukua sehemu ndogo ya mkoa wa Kagera.
 
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point
Punguza jazba. Wahaya ni waTz na hakuna cha ajabu. Wapo wachache wenye uwezo kiakili na wapo wengi wenye uwezo mdogo kama waTz wengine tu.
 
Nilichojifunza kwa wahaya chenye akili Ni kater**0 tu. Senene zilinifanya niharishe mpaka Basi.
 
Mkoa wa Kagera kuwa maskini haimaanishi wahaya ni maskini . Mkoa wa Kagera una wilaya nyingi na wahaya wanachukua sehemu ndogo ya mkoa wa Kagera.
Umasikini watu wa mkoa wa Kagera kutia ndani Wahaya ni ndio umefanya Kagera kuwa miongoni mwa mikoa masikini

Huwezi kutengelanisha umasikini wa Kagera na Wahaya
 
Back
Top Bottom