Wahaya wana Akili sana kiukweli

Wahaya wana Akili sana kiukweli

Kwangu kipimo cha akili cha Kabila hukipima kwa kangalia maendeleo ya Eneo husika.
Sasa huko Bukoba watu wanakufa kwa umasikini wakisubiri Serikali Iwajengee Dispensary na Shule za kata ndio unasema wana IQ kubwa?

Kwangu my role model ni Kilimanjaro..... Secondary wamejenga kila pahala; wana zaidi ya dispensary moja kwa kila kijiji; magorofa hadi huko vijijini ndani ndani; sijui wanafunzi kukaa chini, huwa wanasikia tu kwenye radio na TV, Miundo msingi mingi wanakarabati wenyewe nk nk nk na ndio sababu wanapenda kwenda kwao kila mwisho wa mwaka tofauti na makabila mengine ....
Mkoa wa Kilimanjaro kieneo ni sawa na Wilaya ya Uyui Tabora huwezi linganisha na Mkoa wenye mita za mraba zaidi ya elfu 40 na Kilimanjaro yenye mita za mraba elfu 13. Rudi darasani.
 
Nina jamaa mhaya ila hajaoa mhaya mwenzie nilimuuliza kwanini akaniambia ukitaka kuiona ndoa chungu muoe mhaya na afadhali yeye kuliko muhaya na kabila tofauti

Kiufupi mhaya

Duuu
Wahaya sio wa kuoa, hilo liko wazi.
Kuna makabila ni acha waoane wao kwa wao.
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
Kusema wana akili mi nakubali, lakini kusema tungekuwa wapi bila wahaya hii si sawa, Taifa limefika hapa lilipo kwa juhudi za makabila mengi.

Nimeona post yako ya kizazi cha 1990, kukiita golden generation, napata mashaka na hicho kizazi kama ww ni mmoja wapo
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.

Mkoa wa Kagera ndio mkoa maskini sana Tanzania, mkoa wa mwisho kiuchumi, hizo akili wahaya watoe wapi? Au wewe ni mhaya mmojawapo kazi yenu kujisifia kumbe zero kabisa, kutwa nzima, miaka kazi yenu kujisifia na ubishi wa asili, akili hakuna, hata wewe mtoa mada uko kundi hilo..!!
 
Wakuu sehemu gani kagera niende naeza pata pisi moja yakienyeji kali.?.

Natanguliza shukrani.
 
Mkoa wa Kagera ndio mkoa maskini sana Tanzania, mkoa wa mwisho kiuchumi, hizo akili wahaya watoe wapi? Au wewe ni mhaya mmojawapo kazi yenu kujisifia kumbe zero kabisa, kutwa nzima, miaka kazi yenu kujisifia na ubishi wa asili, akili hakuna, hata wewe mtoa mada uko kundi hilo..!!
Punguza hasira mkuu. Wahaya hawajawahi kushika serikali Wala kuwa CCM.
Wew ndo unaumia kwa watu ambao hawana time na wew.

Kwanza Kagera ni mikoa top 5 inayokua haraka kiuchumi

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1787863231609876859?t=ualiOF_dd8KqGiuCemvB4g&s=19
 
Mkoa wa Kilimanjaro kieneo ni sawa na Wilaya ya Uyui Tabora huwezi linganisha na Mkoa wenye mita za mraba zaidi ya elfu 40 na Kilimanjaro yenye mita za mraba elfu 13. Rudi darasani.
Kama unafikiri maendeleo ya watu hupimwa kwa ukubwa wa eneo la mkoa, nafikiri hujatafakari vizuri;
Hivi; wananchi kuamua kuchanga na kutengeneza madawati ya shule watoto wao wasikae chini, au kuamua kujenga zahanati, au kuamua kujenga wodi nzuri za mama na mtoto ili wake zao wapate huduma nzuri; hao si ndio wenye IQ kubwa??? kuna ubishi hapo?
Lakini pia kama unafikiri Udogo wa eneo ni kigezo, nenda ukatembelee Pemba au Mafia uone umaskini ulio huko...
 
Muhaya Smart Mama tibaijuka tu,.wengine kama sisi tu
Siku nyingine anza kuandika jina la mtu kwa herufi kubwa.
Mpuuzi gani kawafundisha somo la Lugha darasa la 3 nyie?

Kwenye mada;
"Kadili unavyozidi kupanua, ndivyo watu wanavyozidi kutamani"
-Anna Tibaijuka, MB.

Nimechomekea kutoka kwenye Hansard za Bunge la JMT.
 
Mimi natokea lile kabila mnasema hatujasoma,unategemea nini
 
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.

Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.

Hongereni Sana

Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.

NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.

DNA factor, zina mchango wake.
ni kweli,tangu wamegundua formula ya KATERERO wamekuwa na akili sana!!
 
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point
Kwel una akili hamnaso sanaa ..sasa kama unaongelea wahaya wote walio TZ una uhakika gan kama hawajacrossbreed na makabila mengine na hizo akili zinatokea wake makabila mengine na si wahaya?
 
Back
Top Bottom