Khaa walikuwa wanaenda hadi wodi ya vichaa? Hiki nilikuwa sikisikilizi saana maana kilikuwa kinarushwa muda wa kujiandaa kwenda kanisaniNakumbuka kupindi kilichokuwa kinarushwa siku za jumapili kipindi ambacho mgonjwa anahojiwa mwishowe anapewa nafasi ya kutuma salamu,
Vichekesho ilikuwasiku wakihojiwa vichaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilikuwa kinahusu nini? Maana wakati mwingine unaweza kuwa unakumbuka content ya kipindi ila jina umesahauJe wakumbuka kipindi kilichoitwa KIJALUBA CHANGU kilikuwa kikitangazwa na Abdallah Mlawa enzi hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unasemaje simtendei haki mtu ambae hata humjui? Kwa kukusaidia huyo dada anaitwa Moon Chae Won, Korean actress born November 13,1986..kwa hiyo ni muhenga mwenzangu upo ziwa?[emoji108] kama ulikuwa unasononeka kwa kumweka mtoto mwenzio you can now relaxakuuu labda unitajie ndo nimjue
Sekondari my @$$.. Labda sekondari ya viduduHaha sio sifa jamani, uhenga unanihusu haswaa. Nilikuwa secondary at that time, upo titi?
Nakikumbuka hiki walikuwa wanaimba 'angaza angaza haki za binadamu' mkuu unaweza kunikumbusha kwa ufupi kilikuwa vipi?kipindi cha mwangaza, JUMAPILI SAA NANE MCHANA
Ulikuwa unasikiliza nini wewe kipindi hicho?Aisee nyie mwaka 2000 bado mlikuwa mnasikiliza RTD?!
Ndo huo wa twende na wakati mkuu au mwingineNinakumbuka mchezo wa kuigiza Masha aliolewa na Mawazo alikuwa na mawifi Naviwe na Havijawa, walimpelekesha Masha mpaka aliisoma namba.
Hahaa mkuu nimuombe radhi nani sasaMahoka ilikuwepo na wahusika wake wakuu walikuwa pwagu & pwagusi muombe radhi
Sikumbuki jina mkuu.
Kweli saa moja walikuwa wanajiunga Z'bar aisee watu mna kumbukumbuTaarifa ya habari ya saa moja jioni kutoka radio Tanzania Zanzibar, sijui kama wanajiunga tena siku hizi, nna miaka zaidi ya 15 bila kusikiliza rtd
Sent using Jamii Forums mobile app
David wakati mkuuTumbuizo Asilia - Michael Katembo , Khalid Ponera baadae Malima Ndelema
Starehe na BP - Julius Nyaisangah
Misakato - Julius Nyaisangah
Ugua pole - Walikuwa wanazunguka hospitali mbalimbali nchini kupitia wawakilishi wa mikoani na wale wa Dar
Nipe Habari - Siwatu Luanda
Mama na Mwana - Deborah Mwenda
Club Raha Leo Show - Julius Nyaisangah, Enock Ngombale na Geofrey Erneo
Kijaruba - Abdallah Mlawa
Mchana Mwema/Pokea Salamu - Christine Chokunegela na wenzake wengi
Chaguo la msikilizaji - Malima Ndelema
Mkoa kwa Mkoa - Michael Katembo, Nadhir Mayoka, Malima Ndelema
Disco Show - Julius Nyaisangah
General tyre na gari lako - Samadu Hassan
Ngano za Muziki - Salama Mfamao, Siwatu Luanda na wengine
Majira ya asubuhi na saa 3 usiku...
Watoto wetu - Watangazaji wa kike..
Mikingano - Salum Seif Nkamba 'SS Nkamba'
Mkulima wa Kisasa - Malima Ndelema
Michezo/Matangazo ya Mpira - Mshindo Mkenyenge, Omary Jongo, Ahmed Jongo 'Father', Dominick Chilambo, Mikidah Mahmoud, Charles Hillary, Juma Nkamia, Salim Mbonde, Abdallah Idrissa Majura na wengine..
Taarifa ya Habari - Julisu Nyaisangah, Charles Hillary, Betty Mkwasa, Sarh Dumba, Halima Kihemba, Jacob Tesha, Sekione Kitojo, Tido Mhando, Mikidad Mahmoud, Christine Chokunegela, Abdallah Mlawa, Abdul Ngalawa, Eddah Sanga, Aboubakary Liongo, Iddi Rashid Mchatta na wengine...
Mazungumzo baada ya Habari - Abdul Ngalawa, Mikidad Mahmoud
Pia walikuwepo wawakilishi wa Kanda/mikoa
Nyanda za Juu Kusini - Idrissa Sadallah, Martha Ngwila
Kanda ya Mashariki - Halima Kihemba , Penzi Nyamungumi, Monica Lyampawe..
Kanda ya Magharibi - Titus Philipo
Kigoma - Chisunga Stephen
Songea - Abisai Stephen
Lindi - Angalieni Mpendu
Ziwa Victoria - Dominick Chilambo, Nathan Rwehabura
Kanda ya Kati - Ben Kiko, Ahmed Kipozi, Sangi Kipozi, Hendrick Michael Libuda, Daniel Msangya, Wilson Malosha, Hellen Masele na wengine
Mtwara - Cassim Mikongoro
Kanda ya Kaskazini - Ahmed Jongo
Zanzibar - Yusuph Omary Chunda na Makame Abdallah
Hawa ni kwa uchache tu....
Zinduka yes kilikuwa kinarushwa Jmosi saa tisa kama sikosei...kilikuwa kinahusiana na maswala ya afya ya uzazi...michezo ya kuigiza nilikuwa sichezi nayo mbali aisee[emoji23]Kulikuwa na vipindi kama geuza mwendo, zinduka,
Hee tenaa..Walikuwa wanatuma post card wanawake tu akituma mwanaume inachanwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni misakato,si michakatoMatangazo ya mpira...club rahaleo show.... Michakato...mama na mwana...
Sent using Jamii Forums mobile app