Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Kuna mchezo wa redio ulikuwa sponsored na Chibuku....nakumbuka wimbo wa tangazo la chibuku...'tutumie chibuku ni pombe bora....
 
..Kulikuwa na vipindi vya watoto kimoja nilikuwa kinaitwa Mama na mwana kilikuwa kinarushwa jumamosi saa nane na nusu. Nilikuwa sipitwi kabisa..
Wewe Muhenga mwenzangu aisee. Unaikumbuka ile ya "harakati/simulizi za Akajase Mbamba"? Kitambo kwelikweli.

Yule bibi/mama alikuwa anatupiga fix...come to think of it. Sijui ninSarah Dumba yule?
 
Rushwa ni adui wa haki

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania, nakupeeenda Tanzania.... Mataifa mengi yanakumezea mate Tanzania. Mabonde mazuuri ya kilimo, mlima mrefu katika Afrika, mbuga za wanyama na mawe ya madini ya kila aina Tanzania. Lakini aah.. Ona wananchi wake, wengi wanaugua virusi vya rushwa...wanaumwa,, tena wanaumwa sana.
Lakini dawa tunayo, ni mianya ya rushwa ifichuliwe, ili izibwe mara moja. Basi ilikuwa nimekariri hili tangazo na huku sijui hata hiyo kitu kinaitwa rushwa ni nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Muhenga mwenzangu aisee. Unaikumbuka ile ya "harakati/simulizi za Akajase Mbamba"? Kitambo kwelikweli.

Yule bibi/mama alikuwa anatupiga fix...come to think of it. Sijui ninSarah Dumba yule?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi muhenga wa mwendokasi. Yaani mimi sijui kwa nini hadithi zote nimezisahau majina naikumbuka binti chura tu nadhani ndo ilinisisimua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom