Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Twende na wakati, Leo katika Bunge, Pilika pilika, Karibu Mgeni, Michezo, Majira

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Natamani kungekua na kisehemu cha voicenote
Niweke ile radiooo Tanzaniaaa..Daresalamu
 
Vipindi nilivyokuwa sivikosi...

1. Michezo
2. Club raha leo show
3. Watoto wetu
4. Matangazo ya mpira hasa ikicheza Simba na watangazaji Omar Jongo, Salim Mbonde, Charles Hillary, wakitangaza
5. Taarifa ya habari ikitangazwa na Nasoro Nsekeli na Jacob Tesha
6 Pwagu na Pwaguzi
 
Kipindi cha michezo ikifika sa moja na nusu or mbil kasoro hivi
Nilikuwa napenda sauti ya Halima Mchuka na Ezekiel Malongo beki nambari mbili( RIP)

Nakumbuka kipindi cha salamu pia Malima Ndelema ( mtangazaji sijui yupo wapi)

Kipindi cha watoto
Nyimbo" uje tena shangazi, uje tena shangazi. Tufurahi shangazi , shangazi yetu shangazi"

Hapo wakati kipindi kinaisha

Na michezo ya redio
Nakumbuka nilikuwa sharp nasikiliza yan najiona kama nipo, humo ndani

Mimi tu ile hodi uhii walikuwa wanagonga nini sijui

Pwagu ,mama haambiliki

Kingine kipindi cha mashairi
Nakumbuka tu
Hichi kipengele cha kumalizia shairi
"Bia yetu ya safarii asili yake Tanzania"

Bunge la redion
Nilikuwa napenda kusikia saut ya zakhia Meghji. Akisoma bajeti.

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Haha, sasa sijui lengo la kuzima lilikuwa wafanyakazi wa kalale?

Mimi hadi leo ninayo kanda ya Jangalason nimetape baadhi ya vipindi.

Na tulishapigana na kaka yangu sababu ya kutape kanda zake hadi nikamchoma Kisu cha mguu.
Kuna nyimbo moja hiv kaimba
" mke si nguo apatikane dukani wala sio kitunguu apatikane gengeni. Kanda hata sijui nilipotezaga wapi

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Kipindi cha michezo ikifika sa moja na nusu or mbil kasoro hivi
Nilikuwa napenda sauti ya Halima Mchuka na Ezekiel Malongo beki nambari mbili( RIP)

Nakumbuka kipindi cha salamu pia Malima Ndelema ( mtangazaji sijui yupo wapi)

Kipindi cha watoto
Nyimbo" uje tena shangazi, uje tena shangazi. Tufurahi shangazi , shangazi yetu shangazi"

Hapo wakati kipindi kinaisha

Na michezo ya redio
Nakumbuka nilikuwa sharp nasikiliza yan najiona kama nipo, humo ndani

Mimi tu ile hodi uhii walikuwa wanagonga nini sijui

Pwagu ,mama haambiliki

Kingine kipindi cha mashairi
Nakumbuka tu
Hichi kipengele cha kumalizia shairi
"Bia yetu ya safarii asili yake Tanzania"

Bunge la redion
Nilikuwa napenda kusikia saut ya zakhia Meghji. Akisoma bajeti.

In ua Presence Jesus is where I belong
Mhenga nakuonaaa
 
Natamani warudishe vipindi vya zaman na watangazaji japo kwa week tu. Yaan. Tukumbushie enzi
Ingawa wengi wamefariki

Wale ndio walikuwa watangazaji sasa. Sio siku hizi

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Ah ah ah. Nakumbuka na ile nyimbo
Hujaiona nyota ya kijani, uzazi wa mpango zindukaa.[emoji23] [emoji23]
Kipindi gan sijui kile

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Back
Top Bottom