Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

Nilikuwa napenda sana viashiria vya vipindi vifuatavyo:

1. Ombi Lako
2. Tuimbe Sote
3. Jibu Lako
4. Kumekucha......sasa kazi iii, kumekucha , kumekucha na majembe mabegani tukalime sasa
5. Duniani Wiki hii
6. Kile kipindi cha David Wakati-Kwaherini wote Mungu akipenda tutaonana tena
7. Ile adhana ya asubuhi........la Qa taaalah????
8. Karibu Radio Tanzania
9. Mikingamo
10. Mchana Mwema
 
Duh watu mna kumbukumbu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana kuanzia 1990's hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000. ... Ukiskia muziki wa majira asubuhi ndo muda wa kuamka, usiku majira ikiisha ndo muda wa kulala. ... nlikuwa napenda vipindi kama :- mazungumzo baada ya habari, chei chei shangazi hapa ilkuwa ni vitendawili,nahau na hadithi fupi kilikuwa jpili saa 3 baada ya kipindi cha Salam kwa wagonjwa, afu jmosi mama na mwana hapo ni hadithi kama ua jekundu, adili na nduguze, bint chura, Bibi na kipini nk nk, afu kinafatiwa na Jungu kuu, kipindi cha michezo na mipira vilikuwa my favourite. Kulikuwa na vipindi kama kahawa ni Mali, bank ya ushirika, club raha leo show, salaam kwa njia ya radio, ukulima wa kisasa, maisha na nyumba, mapishi nk nk..... radio nlikuwa napenda sana kuskiliza na imenifundisha vingi sana! Mzee wangu aliletewa radio na mdogo wake kutoka India 1991 kubwa na spika mbili basi ikifika saa 12:30 asubuhi anaenda anaiwasha kwa sauti kipindi cha majira nyumba nzima mnaamka na ilkuwa ilkuwa kila siku mpaka tukazoea kiasi kwamba asipokuwepo lazima mtu ataamka kuwasha nafkir aliacha kwenye 95/96 hivi. ..
Daah imenikumbusha mbali sana kipindi familia mnakaa pamoja kuskiliza mchezo wa radio I miss those dayd[emoji22][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaaa...Ni kweli...Ndo maana nikaandika 'kwa uchache' mkuu...

Jingle yake ilikuwa hivi:

Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa wa hospitalini leo tunawapa pole...

Ajuae bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole...

Kipindi chenu chawapeni pole...Wote twawapeni pole...Leo tunawapa pole...
Daah umenikumbusha kuna binamu yangu alikuwa sekondari sisi tuko msingi kilipoanza hicho kipindi akatuambia huko Tabora mwimbaji alikosea akaimba "wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawala nyama, kipindi chenu kinwala nyama. ..... basi wagonjwa wacha wakimbie hospital ikabaki nyeupe.... yaani niliamini kabisa ni kweli ilkuwa 1993 nko la nne nkaenda kuwahadithia shule walinicheka sana!kutokana na hlo tukio nkapewa na jina hadi tunamaliza la saba wananiita hilo jina. ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali sana kuanzia 1990's hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000. ... Ukiskia muziki wa majira asubuhi ndo muda wa kuamka, usiku majira ikiisha ndo muda wa kulala. ... nlikuwa napenda vipindi kama :- mazungumzo baada ya habari, chei chei shangazi hapa ilkuwa ni vitendawili,nahau na hadithi fupi kilikuwa jpili saa 3 baada ya kipindi cha Salam kwa wagonjwa, afu jmosi mama na mwana hapo ni hadithi kama ua jekundu, adili na nduguze, bint chura, Bibi na kipini nk nk, afu kinafatiwa na Jungu kuu, kipindi cha michezo na mipira vilikuwa my favourite. Kulikuwa na vipindi kama kahawa ni Mali, bank ya ushirika, club raha leo show, salaam kwa njia ya radio, ukulima wa kisasa, maisha na nyumba, mapishi nk nk..... radio nlikuwa napenda sana kuskiliza na imenifundisha vingi sana! Mzee wangu aliletewa radio na mdogo wake kutoka India 1991 kubwa na spika mbili basi ikifika saa 12:30 asubuhi anaenda anaiwasha kwa sauti kipindi cha majira nyumba nzima mnaamka na ilkuwa ilkuwa kila siku mpaka tukazoea kiasi kwamba asipokuwepo lazima mtu ataamka kuwasha nafkir aliacha kwenye 95/96 hivi. ..
Daah imenikumbusha mbali sana kipindi familia mnakaa pamoja kuskiliza mchezo wa radio I miss those dayd[emoji22][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wengi mnachanganya cheichei shangazi na watoto wetu. Cha saa tatu ni watoto wetu cheichei shangazi kilikuwa kinarushwa saa kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa napenda sana viashiria vya vipindi vifuatavyo:

1. Ombi Lako
2. Tuimbe Sote
3. Jibu Lako
4. Kumekucha......sasa kazi iii, kumekucha , kumekucha na majembe mabegani tukalime sasa
5. Duniani Wiki hii
6. Kile kipindi cha David Wakati-Kwaherini wote Mungu akipenda tutaonana tena
7. Ile adhana ya asubuhi........la Qa taaalah????
8. Karibu Radio Tanzania
9. Mikingamo
10. Mchana Mwema
"INUENI MIOYO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom