Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Haha... ofukoz kipindi hicho nilikuwa mdogo ila miaka ya 90s nilikuwa macho mzee....Sema sijui, inawezekana hukusikia kabisa, itakuwa we siyo muhenga umevamia anga za wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha... ofukoz kipindi hicho nilikuwa mdogo ila miaka ya 90s nilikuwa macho mzee....Sema sijui, inawezekana hukusikia kabisa, itakuwa we siyo muhenga umevamia anga za wenyewe.
Wakati umewajia wa salamu za magonjwa mahospitalini Leo tunawapa pole
Namkumbuka Mzee mmoja Zakaria Ndemfooo huyu mtu alikuwa bingwa wa Salam.
Hahaa huyo binamu yako alikuwa mzee wa fixDaah umenikumbusha kuna binamu yangu alikuwa sekondari sisi tuko msingi kilipoanza hicho kipindi akatuambia huko Tabora mwimbaji alikosea akaimba "wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawala nyama, kipindi chenu kinwala nyama. ..... basi wagonjwa wacha wakimbie hospital ikabaki nyeupe.... yaani niliamini kabisa ni kweli ilkuwa 1993 nko la nne nkaenda kuwahadithia shule walinicheka sana!kutokana na hlo tukio nkapewa na jina hadi tunamaliza la saba wananiita hilo jina. ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu umenikumbusha mbali. Made in India unasoma Madeni india