Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Waislamu bila kujali ni Wasunn,Wahabi,Washia,Wahamadia ni walewale! Wote wanatumia Quran ile ile na Sunna za mtume yule yule.
Ni hatari kwa ulimwengu huu.
Hao Mashia na Ahmadiyya si Waislamu!!!

Mashia na Ahmadiyyah wanatafsiri Qur’an vibaya na pia wanafuata hadithi nyingi zilizobuniwa na wao wenyewe.
 
Sijaona HOJA YA MSINGI


Hakuna MADHEHEBU ya WAHHABISM ila ni jitihada alizozifanya kuwarudisha WAISLAM kwenye UISLAM wa MUHAMMAD rehema na Amani ziwe juu yake!!

Uislam wa ASILI utabaki ule aliokuja nao Muhammad rehema na Amani ziwe juu yake
Well said
 
Well said
 
Umecopy na kupastee mzee Baba....hutaki ata kuumiza kichwa,wa bongo bhna

Hizo sifa unazosema za wahab ndo sifa za kila muislam anatakiwa awe nazo...

Nyongeza mashia sio waislam
Na huyu jamaa ni mshia bila shaka yeyote na si mtu wa dini ya kiislam hata kidogo, eti wasunni wanaofuata usufi yaani awe Suni alafu afuate usufi, kichekesho, anasema miji mitukufu ya Karbala, huo ndo mji kauo a yeye ni mtukufu.
 
Wewe ni mfano wa watu katika dini zote ulimwenguni, hakuna mtu wa dini fulani akaacha alichoamini akaja kusifia asichoamini hata kama kakisoma na kukielewa

Ndiyo maana nikasema mfumo wa dini ni mfumo wa kijamaa ambao unaweza kutekelezwa kwenye jamii inayouamini mfumo huo otherwise ni Vita
 
Mfumo wa dini ya kiislam unatekelezeka kwenye jamii ya waislam tupu

Kwa Tz kama waislam wanapenda hizo sharia zao basi wajimegee mikoa yao waishi wenyewe huko na sharia zao
 
Ila siyo wakuwalaumu na kuwabeza. Unaona walivyosaidia kulinda dini yao. Ukristo nao ulikuwa kama wahabi ulilindwa sana sasa unaona sasa hivi wagalatia tuko legelege tu wakati sisi ndio tuko kwenye nuru na tunaifuata kweli.
Yesu alifundisha kufuata mafundisho yake sio kuilinda dini maana kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe
 
Mfumo wa dini ya kiislam unatekelezeka kwenye jamii ya waislam tupu

Kwa Tz kama waislam wanapenda hizo sharia zao basi wajimegee mikoa yao waishi wenyewe huko na sharia zao
Mifumo ya dini haingiliani hata huo ukiristu hautekelezeki kwenye jamii ya watu wa dini nyingine

Mifumo ya dini ni mifumo ya kijamaa ambayo unatekelezeka kwenye jamii inayouamini mfumo wa dini hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…