Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Shia ni waislam au sio waislam ?
 
Shia ni waislam au sio waislam ?
Shia wapo wengi na imani tofauti tofauti ila in general ni waisilamu.

Kuna vitu kwenye uisilamu ukifanya hata kama unakosea haikutoi kwenye uisilamu na kuna vitu ukifanya unatoka kwenye uisilamu.

Mfano, kuna Shia wa naamini Ali alikua ni superior kwa masahaba wengine, Alitakiwa awe Khalifa wa kwanza etc. Kwa mainstream uisilamu hili ni kosa ila sio kosa linalokutoa kwenye uisilamu.

Kuna Shia wa naamini viongozi wao ni Mitume (Ahmadiya) ama waliopinga waumini wao wasi swali (Nizar Ismailia) etc haya ni makosa ambayo Directly yanapingana na Nguzo za uisilamu, Ili uwe muisilamu lazima uamini Kwenye Swala na Shahada.

Shia wengi ambao ni 3xtreme kama hivyo ni makundi yaliyoanzishwa na kuwa sponsored na Uingereza, wengi lengo lao ni kupiga pesa zaidi kuliko Imani na hata Huko Iran kwenyewe huwakuti.
 
Yani Saudia imeleta shida duniani na wahabi yake ila sasa hivi wao hawafuati Wala hawataki sikia mambo hayo
 
hujatembea wewe nani kakuambia hakuna wamasai waislam wengi? nenda pale Makuyuni mbele kidogo
 
Kumbe anayewaita wenzie kafr naye anaitwa kafr?
Hao jamaa wanaitana majina mabaya sana

Na ni dhehebu moja

Hebu ona hapa 👇 👇 ni dhehebu moja ila itikadi tofauti wanafurahia kifo cha mwenzao kuwa alikuwa kafiri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…