Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Wahindi na Bunge Kurushwa Live!

Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
Wahindi hata Kiswahili hawana haja ya kujua. Nenda India kama hujakuta wanaangalia kama kuna bunge live. Hawa jamaa wapo hapa kuchuma tu hawana interest na chochote cha jamii ya waswahili kama si kupata pesa.
 
Hata kama ofisi haina tv jamaa watajikusanya na kupiga domo.
 
Wahindi hata Kiswahili hawana haja ya kujua. Nenda India kama hujakuta wanaangalia kama kuna bunge live. Hawa jamaa wapo hapa kuchuma tu hawana interest na chochote cha jamii ya waswahili kama si kupata pesa.
hiyo jamii ndio itakulisha? Jamaa ana point bana,siasa nyingi bila mpango hazina maana,piga kazi ujijenge sio kukesha vijiwe vya siasa halafu unalalamika maisha magumu
 
Mkuu kijakazi, wewe endelea kukazana kuwatetea hao watu lakini kikubwa uelewe hao watu sio!

Karibu migogoro yote ya ardhi inayoendelea hapa nchini na kujenga maeneo ya wazi wao ndiyo wapo behind!

Dada zako weusi wao wanawachezea wanavyotaka, lakini wewe (Kijakazi II) hawakuruhusu uwaguse dada zao unless una nafasi katika serikali, na ndugu zake wananufaika through you!

Soka la nchi hii wao ndiyo wameliua! Kina Azim na mwenzie Gulamali kwa kuanza kupanga matokeo ya mechi kwa kuhonga waamuzi na timu pinzani!

Kupitia fedha zao, walizidhoofisha timu kali kama Pamba, Ushirika Reli Coastal nk, kwa kuwachukua wachezaji wao nyota amabo walikuwa wanaunda timu ya taifa, na kuwatupia timu za Yanga na Simba! Nani asiyejua Mechi ya Simba na Stella Azim alituletea picha la kihindi?

Nafikiri labda tunapishana kidogo kama sio sana!

Hayo yote unayoyazungumzia ndio hoja yangu hasa na bado unaonyesha unyonge tu tulionao!

Sisi kama Watz (wenye asili ya hapa) hatupaswi kulalamika kutawaliwa na kutumiwa na watu ambao wako chini ya asilimia 1 (1%) ya watu zaidi ya milioni 40, wewe unalalamika Wahindi hawataki uowe watoto wao, kwani kuna umuhimu gani wewe kuoa Muhindi? Kwa nini kwako isiwe ni jambo la aibu kama ilivyo kwa Watu jamii nyingine kuoa nje ya jamii yao? Kwa nini wao wasilalamike kwamba Watz asilia hawawataki?

Swali ni kwamba wemewezaje kupata nguvu yote hiyo pamoja na uchache wao? Hauoni kama kuna tatizo hapo katika Upande wetu?
Hauoni kama kuna kitu hatufanyi Sawa?
Ni nini kinatuzuia kuimiliki hii nchi kwa Asilimia 100 (100%) ukichukilia SISI ndio wengi na ndio wenye asili ya hapa?
Tutalia lia na kulaumu wengine mpaka lini?
Hauoni tunapaswa kubadilika na kufanya kazi kwa umakini na Bidii ili tuweze kumiliki Kila kitu ktk nchi yetu? Yaani njia zote za Kiuchumi n.k?
 
Nilichofundishwa mimi ni kuwa; Muhindi mzuri ni yule aliyekufa! Sumu waliyonayo ni kali sana hata wangekuwa 0.5% ya idadi yao ya sasa na sisi tungekuwa 90m, ni sumu sana!

Ni hivi, wao (wahindi) ni masikini sana sana huko kwao, tena hata kutupita sisi (watanzania)! Ukitembelea nchi za arabuni, wao ndio vibarua! Tanzania ni nchi changa inayokuwa, imeanza hauta nzuri ya kujiandikia katiba yake kwa manufaa yake....na hatuhitaji tulinganishwe na yeyote! Kwa kuona "LIVE" bunge hili la katiba ni somo tosha kwa wananchi ili waiujue katiba yao mpya, wajue haki zao dhidi ya (sumu nilowataja) na wengine wa aina yao! Ingewezekana TV za kuonyesha hili bunge ziwekwe hadi vyooni, kwenye daladala na barabarani!
 
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!

unafikiria wanamiliki hizo asilimia au umefanya utafiti? Acha uongo ndugu, labda enzi za mwalimu sio sasa!
 
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!

Inatakiwa ujue kabisa hili swala la katiba wahindi hawajalifuraia kwani itawabana sana na manyanyaso na rushwa wanazotoa kwa viongozi wetu ivyo kusema kuwa wahindi sijui hakuna tv au hawaangalii tv haina mashiko. Mhindi hujui anafanya biashara ngapi au biashara gani. Jiulize unategemea pesa alizonazo Manji ni zake, ni pesa zako wanazochukua BOT kwa mlango wa nyuma nyuma (EPA). HALAFU leo useme Manji au Somaia afuraie bunge la katiba, hapo walipo wako mguu nje mguu ndani ndio mana wako radhi kuhonga mabilioni lakini maccm wabaki madarakani. Kuangalia tv ni haki ya kila Mtanzania bila kujali muda au wapi. Acha mawazo ya zamani
 
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!

Basi ungepiga marufuku tv kama enzi za Nyerere
 
Kama ni wachapa kazi hivyo mbona nchi yao ya India ina maskini wengi hivyo?Wengi wao wanakimbia India kuja huku kwasababu fursa za kujiinua kiuchumi kule ni adimu sana ukilinganisha na kwetu.Wewe mleta punguza kula pilipili za Wahindi!!!!
 
We endelea kupalilia
kibarua chako kwa wahindi.. suala la Katiba ya Tanzania tuachie sisi
wazawa.. Hao wahindi ndiyo wakwepa kodi wakubwa nchini...

Mapateli ndio walianzisha ufisadi nchi hii
 
Unakaribia kuwa chizi na vitafiti uchwara,unatakiwa ujiulize ni kwa kiasi gani kwanza serikali ina uzalendo wa kuwawezesha watu wake wamiliki uchumi thn ndo uje hapa uweke uwalo wako,kama akina mama ntilie wanakopa ili wajikimu biashara zao alafu serikali inakuja kuwamwagia vyakula vyao na kuwanyang'anya sufuria zao hapo unasemaje wahindi wanamiliki uchumi?
Je! watz wanatendewa sawa??

Vipi wabunge kutokulipa kodi lakini muuza kioski ana kodi lundo haujiulizi kama watz walio wengi wananyang'anywa uchumi?
 
Uchumi wao mzuri hao Wahindi kwa sababu ni wanachama waaminifu wa CCM..ukijiunga na CCM maisha yanakuwa boraa kabisa hivyo wafanyabiashara wa KIHINDI wanatumia fursa hiyo. Mkianza ugomvi huyooo CANADA!!
 
kijakazi wa II bado unatapatapa, jibu swali la utafiti umeufanyia wapi? Samples ya utafiti weka hapa, huwezi kuibuka tu na kusema wahindi Tanzania wako 300,000 halafu pia ukasema wameshika uchumi kwa asilimia 85, kwanza hiyo takwimu niya kufikirika, ungeshusha data hapa uchumi wetu umeshikiliwa na wananchi kwa asilimia ngapi na katika huo miradi kadhaa yenye kubeba asilimia kadhaa ni ya wahindi angalau kidogo ningekubali.. hivi unajua uchumi wetu umebebwa kwa asilimia kubwa na makampuni ya nje!
Takwimu haziwezi hata siku moja kuwa sahihi kwa 100% na pia ni vigumu kuwa si sahihi kwa 100%, hivyo kama zimepotoshwa sana basi zitakuwa katikati!

Utafiti wangu BINAFSI nimeufanyia kwetu Dar, pia Mikoani kama Shinyanga, Arusha, Mbeya, Iringa, Mtwara na Lindi, na kote huko Uchumi wote kutoka kwenye miji Mikuu ya Mikoa mpaka Miji Mikuu ya Wilaya uko chini ya Wahindi!

Na ukitaka kulijua hilo leo hapa Tanzania jaribu kuanzisha shughuli yoyote ile halafu useme sitaki kuwahusisha Wahindi kwa namna moja ama nyingine uone kama hautakwama, anza hata kuvua samaki tu, lazima uende kitumbini kwa Muhindi akuuzie Nyavu, hata Ukitaka kununua vitenge upeleke nje ya nchi lazima uende kwa Wahindi vinginevyo haufiki mbali, spea za magari, Pembejeo za kilimo, Utalii, Mabenki, n.k na hawa ni watu ambao hawafiki hata asilimia Moja (1%) ya idadi yetu ya watu takribani milioni 40!

Serikali Simamisha kuonyesha Bunge Live Muda wa Kazi ili tufanye kazi kwa bidii na tutoke Hapa tulipo!

Hilo mbona kawaida tu, kama umesoma hata Bailojia ya Shule ya msingi usingeshangazwa na hilo! Kuwashwa ni kitu cha kawaida sana maadamu mwili haujafa bado, hivyo sielewi unamaanishia nini!

Kama kuwashwa ni kawaida njoo nikukune basi na libolo.
 
Mkuu kijakazi, wewe endelea kukazana kuwatetea hao watu lakini kikubwa uelewe hao watu sio!

Karibu migogoro yote ya ardhi inayoendelea hapa nchini na kujenga maeneo ya wazi wao ndiyo wapo behind!

Dada zako weusi wao wanawachezea wanavyotaka, lakini wewe (Kijakazi II) hawakuruhusu uwaguse dada zao unless una nafasi katika serikali, na ndugu zake wananufaika through you!

Soka la nchi hii wao ndiyo wameliua! Kina Azim na mwenzie Gulamali kwa kuanza kupanga matokeo ya mechi kwa kuhonga waamuzi na timu pinzani!

Kupitia fedha zao, walizidhoofisha timu kali kama Pamba, Ushirika Reli Coastal nk, kwa kuwachukua wachezaji wao nyota amabo walikuwa wanaunda timu ya taifa, na kuwatupia timu za Yanga na Simba! Nani asiyejua Mechi ya Simba na Stella Azim alituletea picha la kihindi?

Braza hebu jaribu kumuelewa vizuri alicho kiandika mleta mada, yeye sio kama ana watetea amejaribu kufanya comparison ya seriousness katika kazi kati ya waswahili na wahindi....
 
Mantiki ya hoja hii, nadhani mleta hoja katumia tuu kama mfano wa kuangalia bunge kipindi cha kazi, kwa mtazamo wangu imejikita kwenye ukweli kwamba tunatumiaje muda wetu ipasavyo kwenye uzalishaji? (iwe ni shughuli yako, umeajiriwa serialini au in private offices/companies). Tuwe wakweli unaweza kweli, hata ukuacha wahindi ukute wafanya biashara wengine (say wachaga au wakinga) aache biashara yake aangalie bunge the whole day/week/moth? Je waweza kuingia kwenye makampuni makubwa ukute hayo during work hour? (ambapo watu wanalipwa kwa masaa?) It is high time kuwashauri wahusika kwamba vipindi hivi, ambavyo ni muhimu, virekodiwe na media mbalimbali ili jioni wale wasiopata nafasi waweze kuona na hii ndiyo kazi hasa ya TBC lakini cha kushangaza utakuta vipiondi hivi muhimu wao jioni wanaonyesha harusi na send off za watu!!

crdb mlimani branch kuna TV,ecobank mnazi mmoja kuna TV,kuna MTU kataja Barclays pia INA maana humo watu hawafanyi kazi.Najua unafahamu banks ni miongoni mwa taasisi ambazo zipo smart kimaamuzi na mambo mengine.
 
Uchumi wao mzuri hao Wahindi kwa sababu ni wanachama waaminifu wa CCM..ukijiunga na CCM maisha yanakuwa boraa kabisa hivyo wafanyabiashara wa KIHINDI wanatumia fursa hiyo. Mkianza ugomvi huyooo CANADA!!

Na wewe jiunge na ccm basi ili uwe tajiri.
 
Katika muendelezo wangu wa kufanya Utafiti Binafsi wa kuweza kupata au kujaribu kupata majibu ya kwa nini sisi tuko nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na jamii nyingine hapa Duniani, nimegundua kifuatacho!

Nimejaribu kufanya Jaribio dogo la kuzunguka kwenye Maduka ya Wahindi na sehemu zao za Uzalishaji, nilichoona ni kwamba hakuna Duka hata moja nililoingia la Muhindi au Ofisi au kiwanda cha Muhindi ambapo nimekuta kuna TV na wanaangalia Bunge moja kwa moja (live), lkn nilipo jaribu kuzunguka kwenye Ofisi na sehemu za shughuli za Waswahili wenzangu nimekuta wafanyakazi wako makini na kuangalia Bunge live badala ya kufanya kazi na kuongeza kipato chao!

Nilichojifunza ni kwamba sisi tuko maskini kwa sababu hatupendi na hatuthamini kazi, hawa Wahindi ktk Nchi nzima wako chini ya 300, 000 (laki tatu) katika Nchi ya watu zaidi ya milioni 40, lakini wanamiliki zaidi ya asilimia 85% ya Uchumi wa Tanzania, Hapo tuna tatizo!

Serikali piga Marufuku Bunge Kuonyeshwa Muda wa Kazi, Ili tuweze Kufanya kazi kwa Bidii na Umakini na tuweze kushindana na Wahindi na jamii nyingine Duniani!
Hapo Jirani upo na wanzuki nini?Sasa wahindi kwani kwao hapa wale wakuja tuu kiswahili chenyewe tabu au ndugu unaendesha kagari kapremji mtaa wa India posta nini?Yaani kama ni pumba leo umetupa yaani wewe akili zako inaonesha umeshikiwa na Wahindi.Kwani ukiangalia TV huwezi fanya kazi lione kwanza...........:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Wahindi sio WAZALENDO...ma tv yao wanaangalia chupke chupke na cricket baaas!
 
Lakini usichojua ni kwamba wanamiliki zaidi ya asilimia 85 (>85%) ya Uchumi wetu, kwa maana nyingine wewe hauwezi hata kujenga nyumba bila ya wao kukuzia kitu, hauwezi hata kuvua Samaki bila ya wao kukuuzia Nyavu, hauwezi kununua aspirini Dukani bila ya wao kukuuzia, wakati wewe unapoteza muda tangu asubuhi kuangalia Bunge, wenzako wanachapa kazi na wanazidi kujiimarisha kiuchumi na kujiwekea mazingira mazuri pamoja na vizazi vyao vijavyo! Ndio Ujumbe wangu, fikiria hilo!

1.hizi takwimu za >85% umezipata wapi?na sisi tuzione?
2.wapapotuuzia hivyo vitu sisi tunapata wapi hela?au anaeweza kununua hamiliki uchumi?
MAJIBU YA HOJA YAKO.
Wahindi ni wawekezaji walowezi,kwakua wao ni wafanya biashara kikubwa wanachohitaji ni POLITICAL STABILITY NA USALAMA WA MALI ZAO.wengi wao hapa sio kwao ndomana hawana vigezo/wanashindwa kujihusisha na siasa.thus ukitokea mlipuko wa mabomu watafatilia,sisi wenye nchi lazima tufatilie siasa.
 
Back
Top Bottom