Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

Kwa hiyo mkuu, kwako mtu akishamiliki gari tu tayari keshatoboza kimaisha?

kununua gari yako ukiwa na miaka 24 ni mafanikio ndio.

vijana wangapi wameweza kununua gari zao wenyewe wakiwa na miaka 24 ?
 
We ni zezeta kabisa ,huyo mpumbavu zezeta mwenzako ndio unamuita content creator , content gani aliyo nayo uyo zoba mwenzako , ya uchawa ?
Uchawa nao ni content sikuhizi si ndio ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app

ndio uchawa ni content.

content creation inahitaji Niche choosing,

mwijaku amechagua uchawa kama niche yake katika kujenga jina ama brand yake na kupata pesa

mwijaku anapata hela sababu ya brand yake ambayo anaikuza kwa kutumia content za uchawa.

mwijaku ni content creator, ndio maana kila siku lazima atengeneze tukio la kupost kwenye account zake. na kuonesha ni content uchawa anamfanyia mpaka mlinzi wake Matias ama mke wake.

kuanzia nyumbani kwake anaanza kutengeneza content, either na mkewe, ama mwanae ama mlinzi wake matias
 

Zama za digital market hizi. Kazi za sanaa zina maokoto sana
 
Kwa hiyo tunafanyaje sasa??Unalaumu tuu bila Kuja na Utatuzi.
 
Mtoa Thread

Ushauri wako uko sahihi
Ila kuhusu maisha ya mtaani ni mtazamo wa graduate aji involve na nini after school?

hili linabaki kuwa la mhitimu pekee

Lisichukuliwe ni la graduaties waliokosa ajira.

Pili mfumo wetu wa elimu haumjengi kuanza kujiajiri ila kuajiriwa.
 
Thibitisha hiyo digrii ya mwijaku kutoka udsm
 

Watu wengi hawalijui hili.

Mtoto wa english medium akikosa ajira huwa anashinda amekaa tu nyumbani anaangalia movie ,, hawezi hata kukaanga mihogo auze.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una hoja usikilizwee.
 
 
Mifano yenye uko unatoa ni yamaster kwani hakuna wasomi waliofanikiwa nawako kwenye fani zao umekazania misondo mwijaku sijui nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…