- Thread starter
- #41
Kwa hiyo mkuu, kwako mtu akishamiliki gari tu tayari keshatoboza kimaisha?
kununua gari yako ukiwa na miaka 24 ni mafanikio ndio.
vijana wangapi wameweza kununua gari zao wenyewe wakiwa na miaka 24 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu, kwako mtu akishamiliki gari tu tayari keshatoboza kimaisha?
We ni zezeta kabisa ,huyo mpumbavu zezeta mwenzako ndio unamuita content creator , content gani aliyo nayo uyo zoba mwenzako , ya uchawa ?
Uchawa nao ni content sikuhizi si ndio ?
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Jifunze kuelewea hivi vitu
Asset
Liability
Movement
Progress
Long run
Short run
Success
Achievement
Baada ya hapo jiulize wapi uwekeze.
Kufanikiwa au kupata PESA Una we za Ila kuwa na muendelezo consistence inahitaji Kuwa na Elimu ya Fedha , kujitambua na kuwa na mtazamo chanya.
Misondo is doing fine Ila ataendelea to earn such income even a 5 years to come?
Maisha sio mashindano Ila kufikiri vyema huleta mafanikio yenye tija.
Maisha hayaendeshwi na Elimu ya darasani Ila elimu ya darasani inasaidia MTU kutafuta Elimu ya kuendesha MAISHA
Thibitisha hiyo digrii ya mwijaku kutoka udsmNimegundua wewe ni Zuzu. Hujui hata maana ya elimu.
Hujui kama mwijaku ni content creator na uchawa ndio Niche yake aliyoichagua ya kuitengenezea content ?
Mwijaku amesomea digrii ya maigizo kutoka department of creative arts ya udsm. Sasa Ulitaka awe anatibu watu kwa digrii yake ya maigizo.?
Nimegundua naongea na mtu mjinga na maskini asiyejua hata maana ya division of labour
Angalia mwenye mabasi ya Easther ili ujue kusoma sana sio kufanikiwa.
Shule ni utumwa km familia yako Haina connection utasoma sana mwisho wa ck una ambulia ualimu mkuu wa vidudu
Elimu.
Maarifa
Uzoefu kwanza hapo pesa zitakuja kama mvua za elnino sorry siyo pesa utajiri.
muulize ivi weeeee mr.misondo umepigaje apooooo
Mwanafunzi anaesoma shule za kayumba hata akikosa muendelezo wa elimu ya juu au hata akipata elimu ya juu akirudi mtaani hawezi kufeli.
Mwanafunzi anaesoma shule za kulipia kuanzia chekechea asipopata elimu ya juu na hata akipata elimu ya juu, akirudi mtaani bila ya baba kuendelea kumuwezesha hawezi kutoboa.
Isopokua mzazi ukilitambua hili, hatakama una uwezo wa kumsomesha mtoto wako toka chekechea kwa pesa basi jitahidi kumuandaa kwa kujitegemea mapema kwasababu baba akifeli na mtoto anafeli jumla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wasiosoma huwa mnajifariji sana. Yani mtu mwenye leaving certificate kununua IST au Alphard tiyari ni ishara ya wasomi kuwa maskini na wenye chuki?
Unashindana na watu wasioshindana nawe. Tumia nguvu zako kuishi maisha yako, ukute hakuna anayekuwa inspired nawewe infact hata ukifa leo kuna watu msibani kwako watavimbiwa au kulewa pombe bila kusikitika juu yako.
Huwezi kuwa satisfied maishani kama utaishi kwa kushindana na watu. Ukiona umenunua IST, msomi akinunua Mark X unajawa chuki. Ukinunua Harrier msomi mmoja akatembea kwa miguu unavimba ila mwingine akiwa na Ford Ranger unajawa chuki.
Wewe fanya wanao waishie Form 4 ili wawe makonda kama huyo binti au wacheze kwenye vumbi kama Misondo uone[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una hoja usikilizwee.Hao unaosema wamezaliwa maisha duni au wamesoma shule za chini wengi wao ndio wanapata shida ukubwani. Mzazi anayeweza kulipa ada ya chekechea mpaka chuo, huyo hana nyuma ya tende na baskeli. Mzazi huyo yuko more likely kumiliki assets au biashara au ajira kubwa zinazomfanya aweze kumuwezesha mwanae aliyesoma private. Yani mtu atoe mamilioni kusomesha ashindwe kutoa mamilioni kama mtaji?
Meanwhile, mtoto wa muuza gongo ambaye alikuwa anarudishwa nyumbani kwa kukosa kuchangia sado ya mahindi na maharagwe shuleni mzazi wake yuko more likely kutokuwa na assets, cash, ajira nzuri wala maisha safi. Mzazi aliyekuwa anakosa hela ya mtoto kunyoa nywele saloon atapata wapi mtaji wa kumuwezesha mwanae akishasoma kwa mkopo? Miujiza.
Wanafunzi waliosoma kayumba wengi sana ndio waliofeli, nia na uwezo anao ila msingi wa kuanzia hana. Watoto wa kishua kibao darasani alikula hajui Algebra wala Thermodynamics ila kwamba ukimpa duka la jumla anashindwa kuendesha?
Na iko hivi, hata huyo aliyesoma private tupu baba yake asimuwezeshe bado ana cycle ya wenye uwezo tofauti na kayumba ambaye cycle yake imejaa bodaboda, wajenzi na wacheza ndondo ambao hata kumchangia 10,000 mpaka mkimbizane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafanikio ni kitu subjective sana na Debatable.
Mimi Mafanikio yangu nikipata Mwanamke Mweusi, shape kiaina, na Mwelewa basi!!! . Wewe na hummer yako hunitishi.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shule ni utumwa km familia yako Haina connection utasoma sana mwisho wa ck una ambulia ualimu mkuu wa vidudu
Watu wasiosoma huwa mnajifariji sana. Yani mtu mwenye leaving certificate kununua IST au Alphard tiyari ni ishara ya wasomi kuwa maskini na wenye chuki?
Unashindana na watu wasioshindana nawe. Tumia nguvu zako kuishi maisha yako, ukute hakuna anayekuwa inspired nawewe infact hata ukifa leo kuna watu msibani kwako watavimbiwa au kulewa pombe bila kusikitika juu yako.
Huwezi kuwa satisfied maishani kama utaishi kwa kushindana na watu. Ukiona umenunua IST, msomi akinunua Mark X unajawa chuki. Ukinunua Harrier msomi mmoja akatembea kwa miguu unavimba ila mwingine akiwa na Ford Ranger unajawa chuki.
Wewe fanya wanao waishie Form 4 ili wawe makonda kama huyo binti au wacheze kwenye vumbi kama Misondo uone😂
Mifano yenye uko unatoa ni yamaster kwani hakuna wasomi waliofanikiwa nawako kwenye fani zao umekazania misondo mwijaku sijui naniWewe umepaniki.. uzi umeeleza kutojipa daraja. Kufanya kazi yoyote.
Kisha wakawekwa walio mifano wachache wanaofanya humble jobs na age zao.
Kwa ufupi mimi binafsi nina elimu na Mungu kanibariki maisha ninayo. ukitaka njoo tuonane. nikuelekeze ofisini kwangu uje ama nyumbani uje uone uhalisia wangu
Huu uzi ni kumotivate wasomi waache kujipa daraja la juu na wasichague kazi. Na wala wasijipe daraja.
Maana ukweli mchungu wahitimu wengi wa zama hizi waliopo age under 30 wana msongo wa mawazo sababu hawana kipato.
Wanapaswa wabadilike wasichague kazi.
Mfano hai Mwijaku ni msomi ila hachagui kazi. Amejishusha anaonekana mpuuzi ila maendeleo yake yanaonekana