Wahitimu wengi wanajutia kusoma chuo kikuu. Mzazi mwandalie mwanao Mtaji. Zama zimebadilika

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau.

Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.

Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye msongo mkubwa wa mawazo.

Graduates ambao wapo vizuri ni wale ambao kwao wamepewa mitaji. Na wale wenye vipaji kama wasanii kina Bilnass.

Hizi ni comments za graduates wanaojutia kwenda chuo kikuu. Maoni haya wametoa baada ya graduates mmoja kulalamika degree yake haijamlipa. Bali ilimpotezea muda tu na kumpa ego ya kujiona class ya juu.























 

Attachments

  • Screenshot_20240716-140112_Instagram.jpg
    71.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240716-140352_Instagram.jpg
    110.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240716-140502_Instagram.jpg
    107.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20240716-140521_Instagram.jpg
    99.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240716-140649_Instagram.jpg
    145.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240716-140718_Instagram.jpg
    71.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240716-140745_Instagram.jpg
    83.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240716-140805_Instagram.jpg
    78.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240716-140824_Instagram.jpg
    71.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240716-141024_Instagram.jpg
    123 KB · Views: 6
  • Screenshot_20240716-141039_Instagram.jpg
    84.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20240716-141109_Instagram.jpg
    138.3 KB · Views: 4
Huu ni ukweli mchungu.

Naumia sana Nikiwaza milioni tatu zangu ambazo Tusiime wanachukua kwa mwanangu kila mwaka.

Halafu akimaliza chuo aje kuanza kujifunza kuuza chipsi.

Ni bora ningemnunulia mashamba na viwanja akiwa mkubwa apate pa kuanzia.

Akikosa mtaji anauza tu kiwanja chake kimoja.. kisha anaenda china kufunga mzigo
 
Wengi hamuelewi lengo la kusoma ndio maana mnalalamika.

Lengo la kusoma siyo kupata utajiri au kuboresha maisha.

Lengo la kusoma ni kupata freedom.
Yes!
FREEDOM OF THOUGHT.

Yaani kwa kiswahili ni UKOMBOZI WA FIKRA.
 
Si rahisi wazazi wa Kitanzania kuelewa,kutambua kuwa mambo yamebadilika hivyo ni vyema nao kubadilika.

Ni taifa la namna gani tunalo andaa ? Hatujafika hata mapinduzi makubwa ya kiteknolojia & kiviwanda lakini hali mbaya namna hii ? Inasikitisha
 
Hizi ni comments za graduates wanaojutia kwenda chuo kikuu. Maoni haya wametoa baada ya graduates mmoja kulalamika degree yake haijamlipa. Bali ilimpotezea muda tu na kumpa ego ya kujiona class ya juu.
Walau wanachat kama wssomi. Humu JF unakuta jitu linaanzisha nyuzi mfululizo za Simba na Yanga
 
Japo wachangiaji wengi hapo walikuwa wanafanya masihara lakini hii ni Mada inayohitaji Mjadala Mpana kwa mazingira ya Sasa na Baadaye.
 
Mtu yeye mwenyewe hajui akale wapi kesho unamwambia amuwekee akiba mtoto

Wengi hata wapate kazi ya mshahara mkubwa lakini wanaona aridhike yeye tu
Wengine kina sisi mtoto aliezaliwa serikali inakupa hela kidogo ya kumfungulia account halafu wewe kila mwezi unatupia kidogo ( sio Africa)

Na akifika 18 unamkabidhi hela zake h
 
Yaani saiv elimu Iko Kila Kona Kuna kichaa apa mtaani namuonaga juzi kati ndo naambiwa ana degree alimalizag UDSM🥴🥴🥴
 
Wengi hamuelewi lengo la kusoma ndio maana mnalalamika.

Lengo la kusoma siyo kupata utajiri au kuboresha maisha.

Lengo la kusoma ni kupata freedom.
Yes!
FREEDOM OF THOUGHT.

Yaani kwa kiswahili ni UKOMBOZI WA FIKRA.

Je ukisoma sekondari tu bila kwenda chuo kikuu hupati ukombozi wa fikra ?

Ukisoma shule za kayumba hupati ukombozi wa fikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…